Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,173
- 107,750
Mnahonga! Airport umeme unakatika kila siku!The leading Airport in Africa is JKIA.
Imagine bado kuna wachawi wananataka kulinganisha JKIA na Mabati rolling Mill.
View: https://x.com/KenyaAirports/status/1847540741427351687
That’s a berth U/C!Shimoni Fish Port under Construction in Lamu County.
View attachment 3129636
View attachment 3129637
View attachment 3129638
Did u forget international? Where is control tower?Diani Airport Expansion. Kenyan Aviation industry is on the rise.
View: https://x.com/KenyaAirports/status/1847341517641298386
Does it make a difference? If FIFA does not recognize a single stadium Ukunyani?
Huwa mnahonga!Pole kwa hasira. JKIA is the leading airport in Africa and KQ is the leading airline in Africa. Sasa ukipenda upige nduru😂😂
Kuna mropokaji zaidi yako kweliWanaropoka kinoma. Alafu hiyo ya kutupa kwenye dust bin mm mwenyewe nmeanza kuitumia now, yn ukiingia jf unakuta jitu linaropoka tu mpaka unaona uvivu kuendelea kuperuzi, ss kwa nn ujipe shida, tupa kwenye shimo la taka maisha yaendelee.
KQ is back to making profit. Alafu kumbuka ATCL haijawaipata faida Tangu ianzishwe, so don’t talk about financial statement if you know your airline rides on losses every year.And Africa’s leading loss making airline! Ni upumbavu wa Hali ya juu kudiriki kuiweka Kenya airways mbele ya Ethiopian Airlines!
Sawa, Nenda ukachape World Travel awards.Mnahonga! Airport umeme unakatika kila siku!
Sawa bwana Methuselah.Huwa mnahonga!
Yaani viti vya plastiki vinatumika kwenye huo uwanja na bado unajivunia; wewe nyang’au vipi?😎
Viti vya bar! Hamtakaa kuiona FIFA green light on international matches!
Ulitaka wakalie mbao kama zile za Azam na KMC? By the way how many stadiums in Tanzania iko hata na seats?Yaani viti vya plastiki vinatumika kwenye huo uwanja na bado unajivunia; wewe nyang’au vipi?😎
Huna lolote😎Ulitaka wakalie mbao kama zile za Azam na KMC? By the way how many stadiums in Tanzania iko hata na seats?
Ebu nitajie at least 5 stadiums in Tanzania with seats, hata kama ni benches za mbao just name them.Vito vya bar! Hamtakaa kuiona FIFA green light on international matches!
Aawapi KQ made loss!KQ is back to making profit. Alafu kumbuka ATCL haijawaipata faida Tangu ianzishwe, so don’t talk about financial statement if you know your airline rides on losses every year.