Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Magu alianzisha miradi hakuonja ugumu wa ujenzi.
Ndo hapo wanaposhindwa kutofautisha. Kuna Kuanzisha miradi na kujenga na kama alikuwa anajenga inakuwaje karibia miradi yake yote hasa ya barabara haikukamilika mpaka ije ikamilike kipindi Cha mama Samia.
Mfano tu brt ilianzishwa na kikwete mwaka 2012 na ikamalizika 2015 na mpaka anafariki Miaka karibia 6 alishindwa hata kumalizia brt phase 2 na ikumbukwe kikwete kaondoka madarakani mabasi yashanunuliwa
 
Naona umeamua kupiga watanzania wenzako na ukweli hadi wanataka kukuignore wote๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Donโ€™t worry, wewe Sema ukweli hata kama utabaki ukiongea pekee yako just say the truth๐Ÿ˜‚
 
Tusiitane majina kwa kuwa mtu katoa wazo linatofautiana na lako au kiongozi fulani,nchi hii ni yetu wote tukubali kupokea mawazo kinzani tuyatafakari ikiwezekana tuyafanyie kazi tuanajenga nyumba moja!
Sorry, nilikujibu wewe? Maana sikumbuki na sielewi kwanini unaniambia hivi.
 
Naona umeamua kupiga watanzania wenzako na ukweli hadi wanataka kukuignore wote๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Donโ€™t worry, wewe Sema ukweli hata kama utabaki ukiongea pekee yako just say the truth๐Ÿ˜‚
Hawana jeuri ya kubishana na facts.

Ila usisahau Kundustan inaingia mara 4 Kwa Tanzania so ni aibu kusubiria mbeleko ya Bwanawenu USA kuwajengea Mombasa-Nairobi expressway.
 
Ila usisahau Kundustan inaingia mara 4 Kwa Tanzania so ni aibu kusubiria mbeleko ya Bwanawenu USA kuwajengea Mombasa-Nairobi expressway.
Remember Kenya have three times the number of Road network that Vimbistan have even with our small geographical size.
 
Reactions: gzi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ