Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwai Kwaiyo mama ana miradi mingi kuanzisha kuriko Magu?
 
Kama mlijua Barabara ni za muhimu Kwa nini mlitumian 10.7T kujenga reli km 722 na miundombinu yake?

Huu ndio ufala Sasa,hiyo pesa inatosha kujenga expreway Barabara zote kubwa hapa Tanzania
Wewe ni mwenye mawazo ya kipumbavu siku zote! A mining country like Tanzania n her neighbors need a railway!
 
Kwai
Kwaiyo mama ana miradi mingi kuanzisha kuriko Magu?
Tukisema upigaji ni pamoja na matumizi ya hovyo na ya anasa. Kusafiri bila mipango. Vikao visivyo na Tija. Sherehe nyingi. Misafara mirefe ya viongozi.
 
Hizo 10.7T unajua ni sawa na $4bn, mnajidai kukusanya $2bn kwa mwezi.

Alafu Expressway unaijua kijana eti mikoa 15 kwa $4bn uliona wapi? Expressway inataka elevated bridges, overpass, underpass, tunnels, flyovers, Interchanges unadhani hizo $4bn zinatosha hata kuifikisha Expressway ya kisasa Tabora?

Why msijenge? SGR imejengwa miaka mingapi? Hiyo miaka kila mwezi mnakusanya $2bn mnashindwaje? JNHPP si iliwezekana kwa $3bn hatusikii kelele yako.

Lusaka - Ndola Dual Carroiage way ipo $600m km za Dar Moro. kwenye hayo makusanyo ya $2bn kwa mwezi why mseme mtenge $50m kila mwezi kupeleka 6 way lanes morogoro kwa miezi 36 ikiwa hiyo iwashinde hadi mtafute mwekezaji. What does it mean kila kitu siku hizi kutafuta mwekezaji?

Hiyo reli ya $4bn ulitaka iwe ya $2bn tulete ngija ngija full moshi? Railways inaplay big part kwenye economy.

Msijaribu kujustify incompetence yenu kwenye miradi na matumizi ya mapato kwa kusingizia railways cost. Jenga maana hamna excuse, tushaoneshwa inawezekana
 
Tuna mahitaji mengi ya msingi kuliko za kujengea expressway.

Hayo mahitaji ya msingi yangefanyika awali Kwa pesa mlizojengea Sgr ya mapambo Kwa Sasa ndio zingekuwa zitumike kujengea hizo expressways.

Mwisho kabla ya kuwaza hizo expressway lazima kwanza Mikoa yote iwe imefikiwa Kwa kuunganisha na Barabara za Lami.
 
Kaka ili upunguze ghalama za usafirishaji reli haikwepeki tuna ushindani mkubwa na corridor zinazotuzunguka Hamna njia nyingine ni lazima kuwekeza kwenye reli.
 
Kaka ili upunguze ghalama za usafirishaji reli haikwepeki tuna ushindani mkubwa na corridor zinazotuzunguka Hamna njia nyingine ni lazima kuwekeza kwenye reli.
Reli zimekuwepo kabla, gharama zilioungua? Na baada ya kupungua unaweza nipa mchango specific wa reli kwenye kukuza Uchumi?

Mwisho reli ni muhimu pale tuu Ukiwa na matured and vibrant economy ambapo basic infrastructures zinakuwa zimeshajengwa.

Huna Barabara za kuunganisha Mikoa Yako harafu unasema reli ni muhimu?
 
Yaani viongozi tulionao sasa hiv...wanaitawala Tanzania kama sio kwao vile. Yaan they don't care.
Tukiendelea hiv kufika 2030 tutakuwa bado tupo tulipo sasa no progress.

Haya basi hawana hela basi jengeni njia nne kwanza kwanza kila mwaka km hata 50 tu...pengine mtapanua baadae...yaan jengeni njia 2 pembeni tu. Mbona nyumba zao za kuishi wanajenga kwa awamu....tembelea Mbweni walikojirundika. Mbona nyumba zao nyingine zinatumia miaka 3 kuisha?

Mimi ningekuwa Rais Dar to Dodoma, Arusha Moshi, Igawa to Tunduma, Mwanza to Busisi, Dar to Bagamoyo road ningezipanua tu kuwa dual carriageway ndani ya miaka mitatu tu.
Sijui wanafeli wap
 
Kwani njia 4 hazijengwi? Kwenu Bukoba hawajengi? Arusha hazijengwi? Mbeya hazijengwi? Dodoma hazijengwi? Mwanza Je? Dar hazijengwi? Mwanza Je? 👇👇
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…