Boss , serikali hii haiwezi pata akili , mna waziri wa fedha mkora kupindukia, plus mama nae hajui hata kinachoendelea kwenye nchi anayoiongoza, actually mama uwezo ni wa kawaida sana upstairs. Plus viongozi wenu they don’t feel the pinch sababu hawatumii hiyo barabara wao wanasafiri kwa ndege ,Mimi nilishachoka kusema kabisa.
Hivi hio Barabara wanashindwa kuipanua at least each year Km 30 tu kwa pesa za ndani.
Hiv hela wanazopata wanazipeleka wap...mpaka waanza kulipisha watz kwenye Barabara muhimu kama hio? Tayari magari yana mikodi mikubwa na sasa bado watu walipe tena kutumia Barabara.
Na nakwambia hakuna mtu atawekeza kwenye hiyo Barabara huku akiona SGR iko pale na Barabara ya zamani ipo pale. Na naomba wasipatikane ili Serikali ipate akili
Kilaza alipiga hii picha eti hehehe.., 2011 camera gani hii ulitumia ulivyo fukara? sasa mmebomoa mkajenga apratments na mansions in 2024?.., niondolee upuzi nanii hehehePicha ya 2007 niliipiga mimi. Asante kwa TBT
Sawa nimekubali ni ya 2007, pumzika kwa amani tu , nimetii, mwehu hehehehehePicha uliyoweka naikumbuka ni ya 2007. Ninakushukuru sana kwa kuweka picha ya ukumbusho, hadi nimetoa machozi.
Hiv mtu ukienda Dar city centre ukarekodi Ohio street, sokoine drive, maktaba street, shaban robert, samora avenue, Azikiwe, bibi titi, ocean road na mission street kwa kutembea video si itakuwa Dk 30 zote. Na hapo si umeshamalizana na Nairobi uptown kitambo kuanzia tom mboya, kimathi, banda street, muindi mbingu, kenyatta, Mama ngina, haile selassie,parliament street.Kwani mna nyingine zaidi ya haya, najaribu kuwa okoa, Nairobi nawapea tu old CBD.., nyie yenu yoote na bado, elewa bwana hamna mengi ni BRT tu., 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.., Mombasa mwenzenu na zaidi kidogo..,
Mwanza ni mara mbili ya Mombasa kwa ukubwaSize of Mombassa is 218.9 SQR KM We cannot discus with a city that resembles to a dot 🤣 🤣 🤣 🤣
Nieleze kwanini Mombasa is very very very very small? only 219.9 sqr km.Sawa nimekubali ni ya 2007, pumzika kwa amani tu , nimetii, mwehu hehehehehe
Mbeya imezidi.Ni wa maana siku zote,Mkoa gani hakuna vumbi?
Wakandarasi wako site huko Mbeya ila sio kumaliza vumbi.
Your city is Dirty, Chaotic , Poor and Unsafe.Haubadilishi ukweli ata ubweke hadi jioni.., ulete picha za kibera mara milioni., ukweli unabakia pale pale pale, kafie mbali
View: https://youtu.be/VNLqnwoJqmM
Huko kwingine unakodhani hakujazidi ni Kwa sababu Ardhi Yao ni mchanga wakati ya kwetu Mbeya ni powder yenye saruji ndani yake ndio maana hatuchomi tofari za kujengea,ukichoma xinapukutika.Mbeya imezidi.
Kumbe kwene hizi videoz kuna inayoonesha makazi bora.? 😂😂😂😂 ever heard of Dodoma .?Ila bado ukweli unabakia pale pale., Mombasa imeizidi Dar.., ata ikija upande wa makazi., yaani mko hovyooo
Facts vs domo domo na propaganda
View: https://youtu.be/Ed_-YF3bvvE
View: https://youtu.be/HGgvGrswc2c
View: https://youtu.be/UuGlrodo9bs
View: https://youtu.be/wNleA1QJkJg
Mji wa ******* sn Nairobi, kila mtu mwizi alafu mazingira ya hovyo, no improvement at all, no wonder wakipiga picha ni za mbali kuonesha vijengo viwili vitatu but they always avoid to show you horizontal infrastructures coz ziko hovyo mnoo, sisi tuna mapungufu lkn we improve our cities day in day out, ukija Dar utashangaa kila mahali ni ujenzi tu wa infrastructures, wao wamebaki vile vile na kelele zao. Huyo mchina kwenye hiyo video amesema kabisa hatowahi kurudi hiyo nchi. Kenya ni mavi alooo 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Your city is Dirty, Chaotic , Poor and Unsafe.
Did you Know that in Nairobi 1/10 individuals and thieves ? And the remaining 7/10 are potential thieves ?
Only 2/10 nairobians are well raised , studies say.
Tazama hii trial ya huyu jamaa na simu fake na namna averyone is trying his luck , kila mtu anajaribu bahati yake kutaka kumpora bila kujua jamaa amaweka chambo anarekodi, such manners ukijaribu dar we burn you to ashes .
The question is , how are you guys surviving in such hell ? Nairobi si ni jehanam hii ?
Watch this out mate 👇🏿👇🏿👇🏿
View: https://youtu.be/t07-s7ldirs?si=7RyMbRCQhWhOvqsq
Aisee nikisema hapa Afrika Tanzania ina wana diplomasia bora kuna mbuzi katoliki wanabisha.TPA inabidi iongee na Uganda iwe ina run port bell terminal sisi tuwapelekee mizigo yao mpaka mlangoni mwao inakuwa no integrated service hakuna mganda kuja bandarini Dar kila kitu wayalipia hapo hapo port bell kwa local currency.
Ingekuwa hawa optimus wangeongea kama human controller wao aka mabwana zao vile wanataka 🤣🤣🤣
Kibera population ni Zaidi ya population ya Rwanda na Arusha combinedUnajua hii sehemu ya Dar ni kubwa kwa idadi ya watu inakaribia kuizidi population ya Rwanda.., hii sehemu ni kubwa kuliko Nairobi!!!,.
View attachment 3127251
If you think Zambia has more malls than Kenya then you've clearly never been to both countries.Visit Zambia first. Acha kuconclude haraka.
Mngejua hizo malls zinavyoharibu local economy msingekuwa mnaziongelea kabisa.
Check pitch kwanza. Yaani mambo yenu ni juakali juakali tu
View attachment 3127214
Sawa. Unaijua Nairobi sana from Google. Hapo ni CBD. 🤣Unless Watu hatujui City centre ni nini?
Visit Zambia my Friend.... zambia has over 500 Shopping malls.If you think Zambia has more malls than Kenya then you've clearly never been to both countries.
Alafu ni kawaida yenu kubash kitu ambacho hamna. Leo mnasema mall zinaharibu uchumi, kesho mall ikianza kujengwa kwenu Kila siku picha humu.
Halafu mbona husemi tukusubscribe kwenye channel yako.Sawa. Unaijua Nairobi sana from Google. Hapo ni CBD. 🤣