Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wasiera leone nao niliwaona wapo dar kuonyeshwa jiji
 
kwani nn kinazuia SGR ya. Tanzania kuungana na Uganda kupitia Kagera-Isaka?
Kampala- Mombasa 1150km
Kampala- dar 1690km
Kinacjoibeba Kenya kufika Kampala .
Makubaliano ilikuwa Rwanda waunganishwe kutoka isaka ila mpaka Sasa naona kwa upande wa Rwanda Bado wanasikilizia maana bila kuunganishwa na kongo, Rwanda haiatakuwa na mzigo wa kutosha kuweza fidia gharama za ujenzi na Bado hawako vizuri na Drc.
Ujenzi kwa Sasa umeconcentrate kwenda Burundi kwa sababu imegundulika Kuna madini ya nickel na cobalt kwa upande wa kabanga kgm wakati kwa Rwanda hakujawa na mzigo wa uhakika zaid ya kuimportbna ujenzi wa kipande Cha kwenda kigoma ukiwa unaendelea na kwa upande wa Burundi trc ilipewa jukumu la kumtafuta mkandarasi kwa upande Tanzania na Burundi, huku Afdb ikiwa imekubali kufadhili ujenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…