Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle ya Glass Buildings tulitoka kitambo na unakumbuka ulivyoiharibu baada ya kulemewa. Nimekwambia usijaribu kuharibu hii battle ingine tunaanza mimi na wewe
Haya twende sasa mimi na wewe unataka battle gani. Chagua.
 
Haya twende sasa mimi na wewe unataka battle gani. Chagua.
lol!!! mbona unakuwa mgumu wa kuelewa? Battle ilianza jana, nikakwambia leo ndio nitakuwa na nafasi.
Pitia thread za nyuma... Leo nilipoingia nimekuita mara kadhaa na nikakuwekea waKenya watatu. Nasubiri jibu lako ili tuweze kusonga mbele
 
Okay. Weka orodha ya hao watu wakubwa hapa. Samahani nilikuwa sijakuelewa. Weka orodha hapa ya watu watano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…