Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Also Teargas anatakiwa aondoe tongotongo hizo plate no AAA ni za zamani sana wakati TZ tunajitafuta before Magufuli era.

Halafu mwambie atembelee website ya Saratoga. Huko Kundustan buses companies hazina Website na online booking

 
Teargas SHABIBY LINE πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Hizi ndizo bus services zinavyofanyika Tanzania. Kenya ni aibu ya dunia



 
Teargas Mambo ya kitoto tumewaachia Kundudwellers. Ukitanza serious issuse njoo Tanzania πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘©β€β€οΈβ€πŸ‘¨πŸ‘©β€β€οΈβ€πŸ‘¨πŸ‘©β€β€οΈβ€πŸ‘¨πŸ‘©β€β€οΈβ€πŸ‘¨

ABC Upper Class


 
Akili za gays ndio kubwa?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Leo naongelea Buses mdogo wangu. Nitakunyoosha tu. Najua unapata maumivu kimya kimya. But hiyo ndiyo dawa utapona.

MANING NICE πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡






 
Akili za gays ndio kubwa?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi ninakupatia dawa itakayokufanya uondoe ujinga kwa kichwa chako.

BM COACHπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Tupatie companies zenye online booking huko kundustan tucheke 🀣🀣🀣



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…