Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii mlipata usaidizi kutoka kwa LSHS ya Kenya, usidhani watu ni wajinga hapa. Mabasi zote za Dar coach huwa wanapewa usaidizi na LSHS😂😂🤣😂
haha nadhani ulikuwa hujazaliwa wewe, quality group imekuwepo kabl ya hata LSHS. basi la kwanza kuwa choo ndani kwa east africa(fresh ya shamba) lilitengenezwa hapo.
 
Wamenunua basi mbili mbili saa zingine Sifa hadi zikafika 20. AMA ulitaka wanunue 20 at a go?😂😂
basi kwa taarifa yako BUSCAR hana magari yanayofikia 40 kwa nchi nzima. pia kununua gari mbilimbili ni kwa sababu hana hela. BM COACH kila mwezi analeta magari 4 na ni kampuni ndogo sana kwa abood, shabiby , newforce, super feo na the like
 
Wamenunua basi mbili mbili saa zingine Sifa hadi zikafika 20. AMA ulitaka wanunue 20 at a go?😂😂
wananunua mbilmbili kwa sababu hawana uwezo wa kununua fleet ya magari hata 10 kwa pamoja.
pia kama ananunua mbilimbili basi mpaka saa hii alitakiwa awe na magari mapya 20 wakati magari mapya ya BUSCAR yaliyopo barabarani kwa mwaka huu hayafiki 5.
 
Baboon what do you know about bus building?

View attachment 3118586

Marcopolo ikiwa inatengenezwa pale AVA. Mtanzania atakuambia hizi vyuma vimetoka Brazil😂😂🤣👇👇

View: https://x.com/LifeOfJuma/status/1725946730716283136

1728382798194.png

naona umepost eti iko kenya . unajua mnatia huruma nyie watu haya yametoka china direct na yako vingunguti yanawekewa chassis
 
Kenya is not backward like your country. We have several bus builders, kwa wale wenye pesa kidogo kama Eldoret Express go to KVM, wale wenye can afford good money go to Master, AVA, Banbros and LSHS.

Pia tuko na hii by the name IDENTITY, it started operations last year. It was established by former Master Fabricator employees, that’s why they try to mimic Master buses.

View attachment 3118666
View attachment 3118668
Article lote hilo jibu hamna,hivyo vitu vyote vinamsaidiaje mkunya wa hali ya chini ikiwa kwenye usafiri wa umma anakutana na tetenasi ukija kwenye makazi anakutana na nyumba za bati surounded na uchafu
 
Attachments

  • f97a51f7f7e24d491bf08bb2d7387f2b.mp4
    673.4 KB
haha nadhani ulikuwa hujazaliwa wewe, quality group imekuwepo kabl ya hata LSHS. basi la kwanza kuwa choo ndani kwa east africa(fresh ya shamba) lilitengenezwa hapo.
Basi zao zote huwa wanapelekea LSHS for finishing. Usidhani sisi wajinga😂😂
 
basi kwa taarifa yako BUSCAR hana magari yanayofikia 40 kwa nchi nzima. pia kununua gari mbilimbili ni kwa sababu hana hela. BM COACH kila mwezi analeta magari 4 na ni kampuni ndogo sana kwa abood, shabiby , newforce, super feo na the like
There’s a time I counted them here hadi zikafika 60, sasa wewe hizo 40 unazoongelea ni gani?😂😂
 
Back
Top Bottom