Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

scrap metal
 
Mbona ulinganishe mighty Talanta with a non football stadium with only 30,000 seats? Again mbona mnajenga kiwanja kwenye pori?😂😂🤣😂
Hiyo inaitwa sports city uwanja na hotels, hostels businesses etc ndio maana wamechukua eneo kubwa
 
Tumeshatoka huko sisi tuko kwenye aircraft manufacturing 😁
 
Colonial Buses 🤣 🤣 🤣 🤣

 
Unasahau Tanzanians have the lowest IQ in East Africa?
Yani mimi naongelea CBD ya Nairobi kuwa katikati mwa jiji while CBD ya Dar ipo pembeni kuonyesha jinsi kupima distance from CBD sio accurate measure ya ukubwa wa haya majiji mawili, yeye ananiletea meaning ya initials CBD - kitu ambacho ukiuliza mtoto wa class 5 hapa Kenya atakujibu. Alafu anavyokazana kueleza anajiona smart sana. Kweli ngómbe ni ngómbe tu. 😂 😂
 
And zote none is certified by FIFA or CAF, meaning ni viwanja vya ovyo.
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…