Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Exactly, wao wakipima from CBD wanaona ndio kila kitu. 😂
 
Siungejifuza photoshop kwanza ndio ujaribu sistee? Hapa hata mtoi wa miaka sita anaona ni edited. 😂 😂
Uzuri mimi huwa naongea facts. Mimi siyo mkenya wakuleta mabumunda humu


 
Siungejifuza photoshop kwanza ndio ujaribu sistee? Hapa hata mtoi wa miaka sita anaona ni edited. 😂 😂
Tafadhali usikimbie. Hii hapa ndio pure ushango Nimeka za kwanza zaidi ya 200 sqr km ni ushango, ongezea na zingine hizi 160 sqr km unapata almost 400 sqr km ni ushango. 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇

 
Next atakuambia eti hilo eneo ilimegwa kutoka pwani😂😂
 
Exactly, wao wakipima from CBD wanaona ndio kila kitu. 😂
Hawajui Dar cbd is one of the farthest ends of Dar while Nairobi cbd is centrally located. Dar cbd ni kama utawala ama Githurai huku Nairobi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…