πππππππππKama kawaida yako umeingilia story bila kujua penye imetokea. Kama SGR ya Kenya sio ya Kenya basi ya Tanzania pia sio ya GOT. Both are loansππππ€£
Hakuna phase mjenga kwa pesa yenu hata moja. Nenda ukadanganye watoto πππππππππππ
sisi baadhi ya phases tumejenga kwa pesa yetu ndio maana unaona TRC ndio inaendesha SGR
haya niletee ushahidi kenya SGr inaendeshwa na KENYA RAILWAY πππ
so munaandamana ya nn sasa adani kupewa airport aimiliki kwa miaka 30 kwann munaandamana na kuchoma vitu na kuuwana???πππππMbona tukope? Yet kuna mwenye anataka kutumia pesa zake?
Mkopo every Kenyan will pay, PPP will be paid by only those people using the airport. Mbona usumbue mtu wa Turkana to pay for JKIA yet hata hajaikanyaga huko? Anyway I donβt expect you to know such since you are always stupidππ
phase one imejengwa kwa pesa yetu, phase 5 imejengwa kwa pesa yetu na phase 4 imejengwa kwa pesa yetu πππHakuna phase mjenga kwa pesa yenu hata moja. Nenda ukadanganye watoto ππ
90% of Kenyan SGR is operated by Kenyans, by around March next year it will be 100%.πππ€£ππhaya niletee ushahidi kenya SGr inaendeshwa na KENYA RAILWAY πππ
Nionyeshe penye mchina katoa hata shilingi kwenye Talanta stadium. Nimekaa pale Nangojaππso munaandamana ya nn sasa adani kupewa airport aimiliki kwa miaka 30 kwann munaandamana na kuchoma vitu na kuuwana???πππππ
eti PPP nioneshe sehemu kenya imetoa a single bob kwnenye talanta stadium ππ
miaka 7 na bado hamujapewa mradi na bakora mulichapwa juu πππππ90% of Kenyan SGR is operated by Kenyans, by around March next year it will be 100%.πππ€£ππ
View attachment 3115877
so mchina anajenga bure au sio πππNionyeshe penye mchina katoa hata shilingi kwenye Talanta stadium. Nimekaa pale Nangojaππ
Wanalipwa kujenga.so mchina anajenga bure au sio πππ
yani ww unatuona wote humu sisi wajinga ikiwa mpaka leo hamujui thamani ya talanta mutakuja ambiwa baadae πππ
yani ukipata sehemu kenya imetoa single bob kujenga talanta mm nafunga acc forever mzee ππππππππWanalipwa kujenga.
Talanta is $350M, kama hujui unadhani wote hatujui?πππ.
Alafu wacha nikulize kitu, kama Talanta ni yao, why are those Chinese being supervised by KDF?πππ
So affordable housing sio mradi? Because of affordable housing places like Machakos and Homabay will now boast of 12 buildings of over 10 floors each.mtu anakopa 259b ksh in 4 months only almost 2b usd na hakuna mradi wowote wa maana so far, wanakopa kulipana mishahara na posho
alaf wako hapa kupiga keleleππππ
View: https://x.com/standardkenya/status/1842286166818652256?s=46
View: https://x.com/mbiti_steve/status/1842294636494082292?s=46
Na ukipata penye Mchina katoa hata shilingi mimi pia nafunga account. Unalazimisha Talanta stadium iwe Mchina lakini unashindwaπππ€£yani ukipata sehemu kenya imetoa single bob kujenga talanta mm nafunga acc forever mzee ππππππππ
yani hii nakuhakikishia πππππ
wacha ujinga wewe 2b usd kwa miezi minne we mzima kweli ???πππππSo affordable housing sio mradi? Because of affordable housing places like Machakos and Homabay will now boast of 12 buildings of over 10 floors each.
ukhehkhekhekehekhekhekehekehe unless hujui maana ya PPP πππππNa ukipata penye Mchina katoa hata shilingi mimi pia nafunga account. Unalazimisha Talanta stadium iwe Mchina lakini unashindwaπππ€£
Sgr not completeExpressway
SGR
Lamu Port
Several roads
Several hospitals
Several schools
Several manufacturing companies
Several IT companies
Do you know the number of affordable housing going on Kenya currently? Do you know the number of small stadiums being built in Kenya currently? Kasarani inajengwa na pesa yako ama? Talanta ni pesa yako? Na Nyayo pia inakuwa renovated na pesa yako? Extension of commuter rail Ngongβ inafanya kwa pesa yako ama? Konza inajengwa kwa pesa yako?wacha ujinga wewe 2b usd kwa miezi minne we mzima kweli ???πππππ
ππππ unaulizwa hukuSo affordable housing sio mradi? Because of affordable housing places like Machakos and Homabay will now boast of 12 buildings of over 10 floors each.
Hivi mnajifunzia wapi, rais anapotoka nje lazima ndege itambulishwe. Sasa hapo utambulisho kuwa ndege imembeba raid ni upi?Ebu weka hizo details za mzena tuone kama kweli Magufuli alilazwa hapoππππ
The day Magufuli came to Kenya. Someone traced this flight but by that time we didnβt know it was Magufuli.
February 2021, the day Magufuli came to Kenya.
View: https://x.com/jmollel/status/1362313376072949768