Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Wewe kima hiyo Nairobi nzima +national park within ni size ya Ilala district alone. 😂😂😂
 
Kuna ubaya gani sasa hapo we fala?dar kila leo inaongezeka watu,nikupe tu mfano mimi kuna sehemu nilinunua hapo dar sqr metre 800 (20 m ×40 m)kwa Tzs compare usd 800 mwaka 2018,miaka 6 now watu kule wanauziwa 20 m × 20 m kwenye usd 4000,mji unakua pimbi wewe
 
I think jielimishe kidogo Mvuti ilikatwa Pwani, na Mkoa wa Pwani una Pori Tengefu linalopakana na Dar which means halitakiwi.kuguswa na Binadamu, with Dar Expansion serikali ilifanyia exception ya Kulimega eneo la Pori la pwani kuwa Eneo la Dar kuupa Mkoa wa Dar nafasi ya kuaccomodate population.

Sasa Ikiwa eneo kwa miaka mingi hairuhusiwi kufanya shughuli za Kibinadamu unataka likimegwa ukute mansio?

Unaleta Syokmau ambayo ipo 20km from CBD serious wakati unakuta kuna Sehemu kama Mbweni, Bunju, Mbezi ya Kimara, Goba, Ziko more than 30km from CBD
 
Insha refu ya nini? As things stand now, dunia yote inajua kwamba Mvuti ipo Dar.
 
Wewe kima hiyo Nairobi nzima +national park within ni size ya Ilala district alone. 😂😂😂
That doesn't change the fact that Nairobi is ahead of Dar.

If we were to use size as a measure of development, Dar would be more developed than New York
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…