Sema nini Siasa za Tanzania zinakwamisha mambo mengi sana.
Tungeacha professionalism iongoze sekta nyeti zote nchi hii kama infrastructures tungekuwa mbali sana...
Tulipata maendeleo sana kipindi cha Magu kwa sababu ni mtu aliyekuwa anawaza mbali na alikuwa ana exposure kubwa sana ya jinsi Tanzania inatakiwa iwe. Hata waliomzunguka wakina Mfugale, kijazi etc wote ni watu ambao Tungekuwa nao Miaka 10 wakenya wangekuwa wanakuja kushangaa mambo mengi sana hapa Tanzania kama ambavyo hawachoki kuja kutry SGR tu.
Siasa ndo zinafanya baadhi ya mambo muhimu kama infrastructures zifanyike kijuakali. Kama sasa hiv wanakimbiza kimbiza vitu ili 2025 wachaguliwe tena
Siasa ndo zinafanya Bodaboda na bajaji ziruhusiwe kupiga route za mjini...zamani waliondoa vipanya kisa vinabana mji ..sasa wameruhusu tena vibajaji
Nitawashangaa sana wakiijenga Mandela road kuwa 6 lanes tena wakati ni moja ya Barabara muhimu sana kwa uchumi wa nchi hii. Mimi binafsi sitawasamehe kama wakifanya makosa kwa Barabara hii.
Kungekuwa na watu wenye kuwaza mbali kule Kibaha...wangeongeza hata km 30 kufika Mlandizi iwe 6 lanes. Kwa miaka hii mitatu toka 2021 wana uwezo wa kufanyw hivyo tena kwa pesa za ndani
Kwanza sijabisha hiyo hoja yake nilichokataa nimkusema kwamba eti saizi siasa zinaharibu na blaa blaa zingine za kijinga.
Nimemaliza Kwa kusema kama Kuna uhitaji itafanyika hivyo maana wanaofanya hayo ni wataalamu na wapo na sio Rais.
Wewe ndio umekurupuka bila kuelewa maelezo yangu.
Tunajenga hoja Kwa misingi ya chuki zako.
Mbeya sio ligi ya Nakuru bro, heri ungesema Arusha.Mbeya View attachment 3114781View attachment 3114782View attachment 3114783View attachment 3114784View attachment 3114785View attachment 3114786View attachment 3114787View attachment 3114788View attachment 3114789View attachment 3114790View attachment 3114791View attachment 3114792View attachment 3114793
Arusha labda ishindane na Mombasa au NairobiMbeya sio ligi ya Nakuru bro, heri ungesema Arusha.
Hebu tuambie Nakuru kuna nini?Mbeya sio ligi ya Nakuru bro, heri ungesema Arusha.
We mzee ebu taratibu, EU na WB navyowajua wanafuatilia miradi yao wasingeweza kukubali huu upuuzi, alafu ile barabara ilijengwa zile njia nne na service road, tena ni barabara imara sana hadi leo ukipita pamoja na shughuli yake ilivyo nzito lakini hakuna mashimo wala kupinda over 20yrs now, labda kule bandarini ndio kumechochoka.Mandela road EU walitoa heka kipindi cha Jakaya kuipanua iwe njia 6 hela ikakaa sana bila kutumika EU wakawapa deadline ya miezi 3 mpaka December wakati huo barabara isipojengwa watapangia matumizi mengine serikali ya Jakaya wakakurupuka wakampa mkandarasi chap chap kilichotokea ni kuongeza service road na kuweka surface mpya palipoharibika hela ikapigwa nilisikitika sana wakati huo.
😂😂😂SawaArusha labda ishindane na Mombasa au Nairobi
Ivi Viongozi Akili zao kama zimeshindwa wapishe wenye uwezo
😂😂😂😂 are you crazy or something.?Mbeya sio ligi ya Nakuru bro, heri ungesema Arusha.
Kwa nini?Ivi Viongozi Akili zao kama zimeshindwa wapishe wenye uwezo
Hii imemaliza battle ya downtown, yaani mtu anakwambia kabisa naingia the most dangerous place in the city na bado unaita huo ni mji? Alafu kumepalala balaa……..😅😅***** guys angalia hiyo video ni ya Juzi tu hapa Oct 2 downtown walk. Kweli hilo ndilo jiji wanatuletea humu downtown kama soko la Tandale?
View: https://youtu.be/DkYrLlyd41o?si=sXh6At_mhc-BNlMY
Linganisha na hii vloggers wao anayetembea Dar
View: https://youtu.be/ZzWwaWwAjow?si=MeXSoe97P_NudFAt
Kuna battle hapa kweli?
Roads imejaa ISUZU za Nyundo.
Zile BASI GO na Electric zipo wapi? Za kuvizia, ila Dar Street BRT kuiona LAZIMA
I wish ungeuliza CCM haya maswali kuhusu uswazi uliojaa TanzaniaHiv hizo nguo huwa hazikauki? Kwa nini hawaweki madirisha? Kwa nini kuna open drainage systems? Kwa nini maghorofa hayapakwi rangi? Kwa nini matatu zinapark Barabarani?
No interchanges, no overpasses.Mbeya View attachment 3114781View attachment 3114782View attachment 3114783View attachment 3114784View attachment 3114785View attachment 3114786View attachment 3114787View attachment 3114788View attachment 3114789View attachment 3114790View attachment 3114791View attachment 3114792View attachment 3114793
Ujenzi unaendaNo interchanges, no overpasses.
Even Kisii surpasses this mbeya or whatever its called