Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mm I'm 100% sure hakuna mtanzania akiulizwa unataka uzaliwe wapi kati ya Tanzania au Kenya alafu akachagua Kenya ila more than 3/4 ya wakenya wakifa alafu wakapewa option wazaliwe Tanzania au Kenya watachagua Tanzania.
 
Hakuna cha ajabu hapo. Taa zote zinamulika kwenye majukwaa. Kwani mpira unachezwa kwenye majukwaa?? Pitch gizaa..
Ligi yao ni mwiko kuchezwa usiku, hapo ndiyo wamejitutumua ili ku catch up na NBC 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ligi yao ni mwiko kuchezwa usiku, hapo ndiyo wamejitutumua ili ku catch up na NBC 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Tatizo wanafanya vitu vyao kushindana na Tanzania. Tanzania has many sources of revenue, sources zao ni Limited.
 
Uongo wote tunafichua 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Mimi huwa najiuliza siku zote hawa huo mtandao wa lami kilometers hizo wanazitoa wapi?
Maana ukiangalia barabara ndefu kwao ni ya North kuelekea Ethiopia na bado haijaisha, malaba, kisumu na Mombasa ambazo kwa ujumla wake hazifiki hata 3000km sasa a big chunk ya hizo barabara wanazojinasibu nazo ziko wapi kama hali ndio kama hii πŸ‘†
Jibu la harakaharaka wanasiasa wamekula hela sasa wana justify on paper 🀣🀣🀣🀣
 
Tukianza kupost foreigners wanaokuja Kenya na wanaiona paradise si mtatuchoka humu? Tofauti hizi vitu tulishaavizoea, nyie ndio mmeanza kuviskia. πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kwa kipi mlichonacho hadi mzungu afike aone hapo kundurenda republic ni paradiso.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ vitu zenye mna brag humu kutuzidi ni expres way, je mzungu aone ajabu kuhusu barabara.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ au gorofa.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hiyo picha ni ya zamani hapo kote kuna lami hapo sasa hivi.
Na njia kubwa ya kwenda Shant town umeiacha hapo nyuma kidogo mkono wako wa kukia all tarmac.
 
Weka ushahidi hapa kwa faida ya wote hatutaki maneno ya upande wa kanga hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…