ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,548
- 89,981
Oh ok tnx. Jamaa anaachiaje mke kama yuleAlikuwa mke wa Ricardo Momo
Ni kwa sababu sisi hatuna mji mmoja kama our english neighbours 😁Bongo watu wanasafiri kinoma.. imagine bus zinajaa daily kama kawa na treni inapiga nyomi la kuzidi kama kafa shoga.
Nimeenda hii comment. 🤣🤣A wachawi bado wanataka kushindanisha Dar port na Mombasa😂😂👇👇👇
View: https://x.com/BusesNation/status/1841017589079675280
Hueleweki. Andika kiswahili sanifu.Huyo mrembo ako fine. Naweza lima. Ole wako shoga unawacha vitu fine fine kama hizi unalimwa haga.
Wivu ulikuwa mkubwa sana. Leo nime sikiliza mahojiano Crown Media. Inaonekana Ricardo Momo alikuwa hana maamuzi kama mwanaume. Amezaa na demu huyo watoto wawili.Oh ok tnx. Jamaa anaachiaje mke kama yule
Kundustan Propaganda. Zikishukia Kenya zitaingia Tanzania bila kodi!?
Kijiji cha Katoro kipo na mazingira mazuri zaidi ya haya.
Duh hizi ndoa za dotcom siku hizi ni shida.Wivu ulikuwa mkubwa sana. Leo nime sikiliza mahojiano Crown Media. Inaonekana Ricardo Momo alikuwa hana maamuzi kama mwanaume. Amezaa na demu huyo watoto wawili.
Phase 3 wamejenga kama vya phase 1.Lakini hiv vituo wasirudie kujenga vya design hii...wamezingua sana aisee...
Bara watumie design ile ile ya phase one kama hawawezi kubuni vipya
Hahaha Yani wameleta hadi Mhindi na mwarabu lakini Mombasa bado inawapiga Knock Out nzito nzito😂😂😂🤣.
Hii nayo ni city au kambi ya wakulima? 😂😂😂
Hujui kitu. Na hapo ni wapi maana toka uweke Mboya hatuamini picha tena.Standards of living sio ukubwa wa mji na hii kauli sijaja nayo wakati huu. Ni jambo linalojulikana kwamba kilimanjaro province ina highest standards of living Tanzania. Tofautisha standards of living na infrastructural development. Mfano, hapa Kenya Nairobi ndiyo iliyo na highest GDP, highest GDP per capita na most infrastructural development ila haijawai kuwa top ikija kwa standards of living. Utakuwa mjinga kudhani Dar ndio ina highest standards of living hapo Bongolala. Na sio eti nimesema mpo juu, Yani Kilimanjaro ipo juu hapo bongolala tu. Hii hapa Moshi
View attachment 3112527