Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanakuambia hawana matatu. Vans zao zote ni za kuanzia 2006 kurudi nyuma.🀣🀣


View attachment 3111206
Hizo za route za huko vijijini...shangaa villages za Tanzania ambavyo zina route za Daladala kabisa...

Ok panda hiyo nenda nayo hata Arusha tu 72km uone kana utaikuta...
Lakini... Mombasa to Nairobi ziko kibao imagine...na zinawaua kwelikweli
 
Your source is tomato sauce.
Source hizi hapa: Unajifanya kipofu 🀣 🀣 🀣 πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡

 
Vumbistan 70% ya transport kwa town ni tuktuk. Imagine hapa ni CBD main street.
View attachment 3111364
Ila hii inachekesha sana Yani ufike kamtaa kamoja upige picha bajaji tano kwa parking halafu utoe overview ya mji mzima within a minute πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ , Moshi CBD πŸ‘‡πŸΎmbona wewe umezoea kuongea uongo mpaka unataka udanganye watu na nchi yao.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hizo za route za huko vijijini...shangaa villages za Tanzania ambavyo zina route za Daladala kabisa...

Ok panda hiyo nenda nayo hata Arusha tu 72km uone kana utaikuta...
Lakini... Mombasa to Nairobi ziko kibao imagine...na zinawaua kwelikweli
Kwao usafiri nje ya Nairobi ni huu hapa πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…