Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na mkiambiwa na waziri wenu mkuu kwamba alikuwa busy anachapa kazi, huo mda wote (about two weeks) alikuwa wapi na kazi alikuwa akichapa wapi wakati huo muda wote hakuwahi oneka adharani?
 
Na mkiambiwa na waziri wenu mkuu kwamba alikuwa busy anachapa kazi, huo mda wote (about two weeks) alikuwa wapi na kazi alikuwa akichapa wapi wakati huo muda wote hakuwahi oneka adharani?
Alikua Mzena wiki zote hizo akitibiwa.
Na ni lazima atudanganye ili kutuliza hali ya kisiasa nchini.
Hivi unajua kuna watu walikua wana mipango ya unyakuzi wa uongozi walipoona mzee haonekani!?
Huyo Samia bado kidogo asingekua kiongozi.
 
Do you have any proof?
 
Lugha ya kingereza watoto wadogo wa nursary ndio wanajifunza, Je na wewe ni mtoto mdogo?
Wacha kufunika aibu bongolala. Kubali tu kwamba haukuelewa kilichosemwa kwenye hiyo link uliyopost.
 
Kenya is ahead of Tanzania in aviation industry by far. Have you ever wondered why JKIA alone handles more than doubke the passengers handled by all Tanzanian airports combined?😂😂
Mnamiliki ndege ngapi? 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…