concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,468
hawawezi we subiria tu uone effects kuanzia mwakani ndo watajua kuwa tuliwabeba sanaWameona kwenye tourism and services industry tumeingiza usd 6bn na wao wanataka kupandisha figure yao kwa kuongeza bei ali mrado wa rival figure ya Tz π€£π€£π€£π€£
kaka sasa sio ndo level ya international kwaoHawa ******* kila airport wanaita International π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Hiyo road ilishachakaa mkuu, ukiona wanaipost humu ujue ni kipindi kile cha uzinduzi na ndiyo maana huoni hata gari zikipita, angalia ilivyoparara π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£View attachment 3109728
View: https://youtu.be/mpTJfImyFLs?si=2hJGWIecQmJTyL9QTHIKA SUPER HIGHWAY INA SOMBA MAGARI
View attachment 3109725
Utoto
hizi sindio miongoni mwa zile km 25,000 zao
hata km 10000 hawjafika bado πππhizi sindio miongoni mwa zile km 25,000 zao
Wivu itakuua kijana hii ni threat kwenye suala zima la utalii kwenu, na badoThis is a mabati kibanda.