Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Daraja moja tu gharama yake ni sawa na kibarabara chote cha kundustan walichokuwa wanatupigia kelele humu enzi zilee, Tanzanians tuna dharau sana aisee 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Yet Tanzania is still LDC, how about that?

Si mtoke LDC kwanza ndio mpige kelele?
 
Kelele tu mjomba ila kiukweli hakuna ulinganisho wowote baina ya Tanzania na Kenya kwa sasa.
 
Roads on paper mnaeza fika hata 50k next year. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ keep on writing non existent nonsense.
Pole sana. Ng’ang’aneni na ya 12,000km of paved roads. No wonder Burundi is ahead of Tanzania in infrastructure development indexπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ€£
 
Wakundustan hii sio international airport, hii ni very domestic airport 90% inahudumia watalii, mainly wa mbugani, Kilimanjaro na Zanzibar connecting from our major international airports like JNIA, Kilimanjaro, Zanzibar lakini cha kushangaza bado mnajilinganisha na sisi,

Kwa watanzania sasa, angalieni jinsi mamlaka zetu za serikali zisivyo na akili, hili jengo ni jipya kabisa na lengo la ujenzi ni kutokana na udogo na uzamani wa jengo la awali, lakini em angalieni lilivyofurika tayari, je ni kweli walitumia akili timamu wakati wa design? Sababu tayari na lenyewe linaonesha limeshakua dogo πŸ™„


View: https://x.com/Jambotv_/status/1839707117412069438?s=19
 
Chakula chenyewe shida,Slum kila kona ya nchi, hizo 30000Km unazijenga na nini kwa tope kama maghofa yanavyo anguka
Hata ukasirike vipi kitu najua Kenya itafika 30,000km of paved roads before Tanzania ifike 15,000kmπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hata ukasirike vipi kitu najua Kenya itafika 30,000km of paved roads before Tanzania ifike 15,000kmπŸ˜‚πŸ˜‚
na tanzania itakuwa inameshafikisha railway line Uganda na kuwapiga pin kwenye bandari yenu. halafu jua kuwa hatujengi tu kwa sifa tunajenga kwa kuangalia faida za kiuchumi . yaan tusumbuke kuwa wingi wa barabara wakati almost tanzania nzima unaweza yanafikika.
 
Pole sana. Ng’ang’aneni na ya 12,000km of paved roads. No wonder Burundi is ahead of Tanzania in infrastructure development indexπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ€£
Najua unakomalia hapo ili upate faraje πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
na tanzania itakuwa inameshafikisha railway line Uganda na kuwapiga pin kwenye bandari yenu.
Are you aware Mombasa port alone handles more cargo than all the Tanzanian ports combined?

Are you aware that Uganda is already in the process of starting constructing their SGR towards Kenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…