Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hamna kitu....hapo....watakimbia kimbia tu.....utasikia ooh tuko kwa ranks[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
hamna kitu....hapo....watakimbia kimbia tu.....utasikia ooh tuko kwa ranks[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
huwa nasema kila siku,elimu ya kenya haiwasaidii wakenya kuwatoa katika ujinga.

msaada pekee wa elimu ya kenya ni kumjengea mtu confidence ya kuzungumza kingereza na sio kumpa maarifa.

trust me,english is the only weapon a kenyan may try to use when he/she meets with a smart tanzanian at first time...other that,they are incompetent,weak and stupid..i know these guys very well...and they know that i know them.[emoji23] [emoji23]
 
Nyie MNA nn ambayo 254 aina juu ss tunayo mengi. Ambayo hama.
 
ndiyo ujiulize sasa why DC inapambana na LDC kwa kila jambo kila uchwao
It is enjoyable for me knowing very well Tanzania is in Malawi Burundi DRC league. Si unaona hata football, rugby, riadha, dondi, miundo mbinu, miji, elimu, kijeshi, barabara, hospitali/afya, uchumi, usafiri wa ndege na hata reli tuko juuu tu sana yani tumewazidi kila kitu isipokuwa POVU,MATUSI na MDOMO.
 
Umesahao somali
 
Nyie MNA nn ambayo 254 aina juu ss tunayo mengi. Ambayo hama.
nakupa masharti mawili muhimu,ukiyafaulu basi moja kwa moja utakuwa umepata kibari cha ku-debate na mimi.

(1)jifunze kuandika michango yako kwa kiswahili sahihi kinachoeleweka.

(2)andika michango yako kwa lugha ya kingereza ili uthibitishe kuwa wewe ni mkenya,raia wa taifa la watu wanaojisifu kuzungumza lugha ya wakoloni.

ukishindwa hayo yote,nitahitimisha kuwa wewe ni "kilaza" (mjinga).
sitokuwa tayari ku-debate na kilaza.
 
Huu ujinga kichwani kwako endelea kuufuga,ethiopia wameshakuchapa kwa kalio,gues who is next to kick ur ass.
 
Endelea kuumia vzr πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ na safari hii utaumia mpaka uugue zunguka dunia yote kaulize zanzibar ipo wapi utapata jibu
Hasira hasara. Niungue juu yah lbongolalas.......l[emoji14] [emoji14] [emoji12] [emoji12] tz in Mali yah shein ...ukitembea we lalas unafanywa search hadi unaacha umaembe
 
Sikujua kumbe kuna wakenya hawapendi wakiona zanzibar ikiwa ndan ya tanzaniaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hasira hasara. Niungue juu yah lbongolalas.......l[emoji14] [emoji14] [emoji12] [emoji12] tz in Mali yah shein ...ukitembea we lalas unafanywa search hadi unaacha umaembe
Bunge la tanzania liko dodoma tanzania linalozungumzia matatizo ya tanzania bara mpaka znz visiwani πŸ˜€πŸ˜€
 
Ati sasa bongolala ananitel. Masharti. Kwani ulizAAa yakobo.....kama umeshindwa kuargue leave ii thread....naopotee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…