Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

<br />utasikia ooh....Kenya tunawasomi ooh Mara elimu yao bora.....<br /><br />kama mpo bora mbona hatuwaoni Kenya kiukweli vyuo vyao wanaproduce washona Nguo na mabeki tatu.......ndiyo maana njaa ikiwazidi wanapambana na marathon mbio za nyika
Nyie sisi tuwaoni....mkiproduce whatever[emoji12] note NYie famous eastern africa.pekee world achia wakenya[/QUOTE]
ha haaa famous wakukimbia kimbia ovyo mbio za kupokezana vijiti au kwa uzamiaji.....

hamna jipya kunywa maji ngozi yako itakate hiyo[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
ndiyo hatuijui na hatuna time....yakuijua

Ila mbona humu mnaileta English wakati mkijua kabisa majirani zenu hawaijui hiyo language....

kweli nyie vilaza yaani mnaongea na vipofu kwa vitendo sijui nani mwenye akili hapo....

hizo ni akili za usiku
Ndio maana diamond akihojiwa churchil show na english anaimba halleluya[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji106]
 
Which war did tanzania won? Wewe unajua kwenye vita hakuna mshindi wala aliyeshindwa
 
Nyie sisi tuwaoni....mkiproduce whatever[emoji12] note NYie famous eastern africa.pekee world achia wakenya
ha haaa famous wakukimbia kimbia ovyo mbio za kupokezana vijiti au kwa uzamiaji.....

hamna jipya kunywa maji ngozi yako itakate hiyo[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12][/QUOTE]
Nyie mnaeza kimbia ama nikuuza dagaa mtauza.[emoji106] [emoji14]
 
ha haaa famous wakukimbia kimbia ovyo mbio za kupokezana vijiti au kwa uzamiaji.....

hamna jipya kunywa maji ngozi yako itakate hiyo[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nyie mnaeza kimbia ama nikuuza dagaa mtauza.[emoji106] [emoji14][/QUOTE]
Siyo kuuza dagaa peke yake hata hiyo siasa yenu pamoja na viongozi wenu wote tunaweza kuiuza na kuwauza
 
Which war did tanzania won? Wewe unajua kwenye vita hakuna mshindi wala aliyeshindwa
Wewe unafkiri rwanda, burundi, uganda,south africa, mozambique na malawi wangepata amani bila tanzania kasome history vzr😀😀😀😀
 
this post is for kenyans only:

while you are bragging about your universities over petty issues of beautiful buildings and blablabla,here is a short list of international (non tanzanians) famous alumni of university of dar es salaam who thereafter held/hold powerful positions in their countries including head of state.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

so i challenge all kenyans to show us any international (non kenyan) alumni from universities of kenya,who became the head of state or a CEO in his/her country.

update:

nasubiri majibu sihitaji povu...ila kama huna majibu,basi ruksa kutoa povu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wewe unafkiri rwanda, burundi, uganda,south africa, mozambique na malawi wangepata amani bila tanzania kasome history vzr😀😀😀😀
hawajui hao.....wanajua NAIROBI CBD history.......pekee ndicho wanachokifahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…