President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,683
- 94,351
Ubongo wao unazibuliwa na ndugu zao.Side walk za dar kwa yule youtuber wao zimewaumiza mno,sie tukiwaambia humu uwa wanaona tunawaletea ligi ila huu mrundikano wa youtubers wao wakiwa dar unawafunua akili,dar ni kubwa zaidi ya naikundu na dar inajengeka kila sehemu tofauti na naikundu
Level zenu ni za Africa tu kwani!Now it's official.
View attachment 3102550
Duh!! watu ni wengi mno wanaosafiri.bongo abiria wengi sana angalia wasafiri wa leo kwa mabus na treni
SHABIBY
View attachment 3102892
SGR TANZANIA
View attachment 3102897
ABC UPPER COACH
View attachment 3102905
🤣 🤣 🤣 Sihitaji kukujibu. Maana unalalamika sana.Unatupostia vitu ametear za Africa hapa!
Ata huna aibu.
jumla ni trip nane tu bosi, maana treni zinazoanzia morogoro ni mbili kwenda na mbili kurudi kwa hiyo treni 4 na dom treni 4. kwa dodoma TRC wanafanya uzembe kwa sababu muda waliouweka sio rafiki kwa watu wanaokaa mbali ya dodoma au wale ambao hawana uwezo wa kukodi bodaboda. kuna abiria wanaotoka chamwino,kiteto, karatu, singida wote hao wanalazimika kuunga tu na mabasi na wengine kwa malori. ilipaswa hizo treni za moro zote zingekuwa zinaunga mpaka dom lakini kunakuwa na mabehewa spesho ya watu wa moro, kwa sababu ukitoa weekend tren zote za moro zinaenda nusu emptyDuh!! watu ni wengi mno wanaosafiri.
Nilihesabu siti za behewa moja na Economy ni 78 ukipiga hesabu kwa trip moja yapo mabehewa 14 mawili Business
78x12 + 58x2 = 1,052 kwahiyo kwa treni moja average watu 950 kwa kila trip.
Morogoro zipo trip 8 na dodom zipo trip 4 jumla ta trip 12.
950 x 12 = 11,400 kwa siku wanasafiri abiria average ya 11,400
Kwa sasa wanapita Wakenya wengi pale airport wanaelekea Dodoma nadhani wengi wao ni hao you tuber, hawa wakenya kwakweli nchi yao haina ajira, yn maelfu kwa maelfu wanakuja kutafuta content huku wapate pesa maskini ya Mungu.Side walk za dar kwa yule youtuber wao zimewaumiza mno,sie tukiwaambia humu uwa wanaona tunawaletea ligi ila huu mrundikano wa youtubers wao wakiwa dar unawafunua akili,dar ni kubwa zaidi ya naikundu na dar inajengeka kila sehemu tofauti na naikundu
Mm si ndiyo nilikuwa nasema hivyo mkuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Popote pale walipo tunawafuata hukohuko kuna mtu alishawahi kusema itafika mda tutabakia wenyewe humu tukiminyana wenyewe nimeamini mda sahihi umefika
Jambo zuri sana maana sisi walikua awatuelewi,then kwenye huu uzi 99% ya wa TZ wameshafika kenya,tofauti na wakenya waliopo humu,wachache ambao walikua humu walipofika TZ huu uzi wameuacha,yule kaka yao lawmaina MK254 alipoanza kuona kazi za magufuli tu early 2018 akaukimbia huu uzi anapita kwa kuchungulia,wamebaki hao mandondocha ambao hata horohoro au namanga hawajawahi kufikaUbongo wao unazibuliwa na ndugu zao.
ukweli ni kuwa waliaminishwa kuwa wako mbele sana kuliko nchi yoyote east africa sasa wakija huku wanakutana na vitu tofauti kuanzia usafiri mpaka sehemu za kulalaKwa sasa wanapita Wakenya wengi pale airport wanaelekea Dodoma nadhani wengi wao ni hao you tuber, hawa wakenya kwakweli nchi yao haina ajira, yn maelfu kwa maelfu wanakuja kutafuta content huku wapate pesa maskini ya Mungu.
Katumwa aje kupunguza ukali wa mashambulizi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unatupostia vitu ametear za Africa hapa!
Ata huna aibu.
Nadhani tuwaache kwanza maana wanafanya analysis na hawataki kuua biashara zinginejumla ni trip nane tu bosi, maana treni zinazoanzia morogoro ni mbili kwenda na mbili kurudi kwa hiyo treni 4 na dom treni 4. kwa dodoma TRC wanafanya uzembe kwa sababu muda waliouweka sio rafiki kwa watu wanaokaa mbali ya dodoma au wale ambao hawana uwezo wa kukodi bodaboda. kuna abiria wanaotoka chamwino,kiteto, karatu, singida wote hao wanalazimika kuunga tu na mabasi na wengine kwa malori. ilipaswa hizo treni za moro zote zingekuwa zinaunga mpaka dom lakini kunakuwa na mabehewa spesho ya watu wa moro, kwa sababu ukitoa weekend tren zote za moro zinaenda nusu empty
na sisi tunawakaribisha kwa mikono miwili waambieni waje mpaka sonea na katavi tuwaoneshe jinsi tunavyowalishaKwa sasa wanapita Wakenya wengi pale airport wanaelekea Dodoma nadhani wengi wao ni hao you tuber, hawa wakenya kwakweli nchi yao haina ajira, yn maelfu kwa maelfu wanakuja kutafuta content huku wapate pesa maskini ya Mungu.
Bro nchi yetu itakapofikia kuwa nchi ya ahadi tutakua na shida sana na kunyan,wengi mno washaanza kujisogeza tena wanawake hadi kwa kufosi kuolewaKwa sasa wanapita Wakenya wengi pale airport wanaelekea Dodoma nadhani wengi wao ni hao you tuber, hawa wakenya kwakweli nchi yao haina ajira, yn maelfu kwa maelfu wanakuja kutafuta content huku wapate pesa maskini ya Mungu.
mkuu hii ni low season unajua na hali ni hiyo, ukienda jion shabiby hupati siti. hizo ticket asilimia kubwa ni gari za jion kuna wanaotka vijijini huko au wale wasiopangilia safar ambao ni wengi kuliko, dodoma usafiri bado changamotoNadhani tuwaache kwanza maana wanafanya analysis na hawataki kuua biashara zingine
Pole kwa maumivu, yakishapoa kaa ukijua Gor Mahia jana kat.om.bw 6-0 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Level zenu ni za Africa tu kwani!
Ni lini mtacompete at world stage na muwe mabingwa, kazi ni yanga tu na ata haijawahi kuwa African ametear champion!
Aii.
Nadhani tuwaache kwanza maana wanafanya analysis na hawataki kuua biashara zingine
halafu we mkorofi , mwenzio bado anatumia panadol unamuongezea maumivu , kwa aje na manuclear ya talantaPole kwa maumivu, yakishapoa kaa ukijua Gor Mahia jana kat.om.bw 6-0 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Shida wengi wao wanataka kuanzisha maisha TZ,tuko milioni 61 mzee,hao kunyan wasipewe chance ya kuja kuwa wakazi wa TZ,serikali iliangalie sana hili isije kufanya mistake kama ya mzee wetu nyerere,wote tunajua sarungi na mungai wakiwa watanzania wenye asili ya kenya waliifanya nini elimu yetu walipokua mawaziri wa elimu wa TZ,kunyan si wa kuchanganyika nao,waulize wakenya wa pwani kulena sisi tunawakaribisha kwa mikono miwili waambieni waje mpaka sonea na katavi tuwaoneshe jinsi tunavyowalisha
Kwa sasa 99% ya wakenya wanajua kwamba Tanzania imeshawaacha kimaendeleo, on the contrary over 80% ya watanzania wanachojua kuhusu Kenya ni nchi chafu iliyojaa machokoraa na ma slums everywhere na inayosumbuliwa na njaa.ukweli ni kuwa waliaminishwa kuwa wako mbele sana kuliko nchi yoyote east africa sasa wakija huku wanakutana na vitu tofauti kuanzia usafiri mpaka sehemu za kulala