Hv kwan kile kituo pale ndo wamemaliza?😅Hizo G7 zikija mtasumbua sana majirani. Sijui kama watalala kwa kelele zenu.
Yaani unashuka kwenye EMU unadandia G7. Halafu kituo cha BRT pale Tanzanite station kina shape ya EMU.
Nafikiri bado hakijakamilika.Hv kwan kile kituo pale ndo wamemaliza?😅
Unaambiwa hiyo ndio usa ya afrika na hao walioparara ndio wazungu weusiHawa wakenya mbn wana matukio ya ajabu ajabu hivii? Alafu angalia hayo mazingira na Wakenya wenyewe walivyoparara na hiyo gari ya polisi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😀 litumie tu kakaI like the word Naikundu unaniruhusu kulitumia?
Usiwashtue kunyan kinachoendelea dar,waache waendelee kutupostia starlink humuIla Dar waTz mmetisha. Mnajenga major roads zote kwa wakati mmoja.
Poa mkuuNafikiri bado hakijakamilika.
Depot ya jangwani hii
Nafikiri bado hakijakamilikaHv kwan kile kituo pale ndo wamemaliza?😅
Kuna vitu vidogo watamalizia operation ikikaribia kuanza.Poa mkuu
Uchumi mkubwa wa ukweli 🤣🤣🤣Ila Dar waTz mmetisha. Mnajenga major roads zote kwa wakati mmoja.
Wangeleta Volvo.Tegemeeni Higer Bus kwenye BRT pia 😂 kuna kitu nimeona.
Ngoja tuwaoneshe how a freight train service is supposed to be once we start ours on SGR.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3102183
Sasa naanza kuwaonea huruma!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3102183
Tumechelewa sana. Miji yote mikubwa nchi zilizoendelea mito inayokatiza kwenye miji hio ni vivutio vya mji.
Kabisa, tuombe Mungu lifanikishwe mapema.Tumechelewa sana. Miji yote mikubwa nchi zilizoendelea mito inayokatiza kwenye miji hio ni vivutio vya mji.