Mkuu tupeane Code, au tuombe ruhusa kwa mwenyekiti ichoboy01 Kwanza ππππππππ nakwambia hiv bebes zinamiminika kama upepo ππΎView attachment 3102009
Sisi watanzania ni waungwana sana. Tunaendelea kujadiliana na vijana kutoka Nairobi ambao tumewazidi kwa kila kitu. Tunaendelea kuwakaribisha π€£ π€£ π€£ π€£Kama unavyoona hapo, kitu pekee ambacho hakijafanyika ni Magorofa kwenye hiyo empty space kulia mwa Kituo, Vingine vyote tayari akiwemo Joka huko kushoto ingawa wameweka mweupe wakati ni The Flying Orange π. Kwa hiyo bado ni Jambo moja tu hapo kunyanyua hizo highrises ambap sasa hivi ni temporary parking space.
Sio G7 tena?Tegemeeni Higer Bus kwenye BRT pia π kuna kitu nimeona.
ππ mkuu utatekwa. Watu wanamiliki bunduki.Mkuu tupeane Code, au tuombe ruhusa kwa mwenyekiti ichoboy01 Kwanza ππππ
Awamu zipo nyingi Boss πSio G7 tena?
Hizo G7 zikija mtasumbua sana majirani. Sijui kama watalala kwa kelele zenu.Awamu zipo nyingi Boss π
Wakundustan ilikua 2010-2020 ila wametembelea kichwa ,οΌSasa hivi wanatembelea Choki πππ au Neutral. Kwa ujumla Sasa hivi ni Yesterday's News Wakafie MbeleπHizo G7 zikija mtasumbua sana majirani. Sijui kama watalala kwa kelele zenu.
Yaani unashuka kwenye EMU unadandia G7. Halafu kituo cha BRT pale Tanzanite station kina shape ya EMU.
Ila Dar waTz mmetisha. Mnajenga major roads zote kwa wakati mmoja.Hizo G7 zikija mtasumbua sana majirani. Sijui kama watalala kwa kelele zenu.
Yaani unashuka kwenye EMU unadandia G7. Halafu kituo cha BRT pale Tanzanite station kina shape ya EMU.
Yaani hadi sasa hivi wananchi wanasema jengeni kwa Awamu ππππ. Na Tanroads wanaambia vumilie kwa ajili ya maisha mstarehe mbeleπIla Dar waTz mmetisha. Mnajenga major roads zote kwa wakati mmoja.
Imagine Bodaboda au dereva anasave mafuta kwa kuweka free kwenye mteremko au kutumia choki kwenye boda ndio maisha ya wakundustan sasa hivi, kiujumla hakuna matumaini πWakundustan ilikua 2010-2020 ila wametembelea kichwa ,οΌSasa hivi wanatembelea Choki πππ au Neutral. Kwa ujumla Sasa hivi ni Yesterday's News Wakafie Mbeleπ
Boss hii itabidi ufute wakundustan wanaweza fanyia kazi za mikono aka kunyonga πππππππππ nakwambia hiv bebes zinamiminika kama upepo ππΎView attachment 3102009
Nyie wanawake mnashida sana. Najua kitu kinachokuchanganya
Hv kwan kile kituo pale ndo wamemaliza?πHizo G7 zikija mtasumbua sana majirani. Sijui kama watalala kwa kelele zenu.
Yaani unashuka kwenye EMU unadandia G7. Halafu kituo cha BRT pale Tanzanite station kina shape ya EMU.