Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unapenda story mingi ya nini?..Alshabab huwezi linganisha na watu wa civil war
 
Apart from the global win, this year, Kenya also scooped the Africa’s leading beach destination award, the Africa’s leading national park award and the Africa’s leading tourist board award from the World Travel Awards.
Acha maneno mengi ya sifa zisizokuwa na maana yoyote, by the end of the day,
Tanzania revenue from Tourism sector $2.2B
Kenya revenue from Tourism sector $890M
Hizo award vipi, mbona hata nusu hujafika?
 
halafu ujue wakenya wanahisi kama masihara ivi....Ila huo ndiyo ukweli kikosi cha tz kikienda kinafanya yake
 
hawaezi kuwaomba Tz msaada maanake Tz wanataka kuona Kenya ikianguka ili wapate biashara na kuendeleza uchumi wao na Kenya ndio kizingiti
Mbona tulienda kumtoa Idd Amin wa Uganda ambaye ndiye mshirika mkuu wa biasharra na Kenya?, mbona tuliwapiga M23 kutoka Eastern DRC ambao ni watumiaji wazuri wa Mombasa port na wanunuzi wazuri wa bidhaa za Kenya?
 
Let's do this, mention Tz's top brains who work or have been exported to work in different international organizations.
1. Asha Rose Migiro (3rd Deputy Secretary-General of the United Nations)
2. Julius Kambarage Nyerere
3. Gertrude Ibengwe Mongella (1st President of the Pan-African Parliament)
4. Anna Tibaijuka (Former Executive director of UN–HABITAT)
5. Salim Ahmed Salim (7th Secretary General of the Organisation of African Unity)
6. Dr Philip Mpango (Former World Bank economist)

Majina ni mengi sana.
 
Basi soma ulichoandika kama kinaeleweka???ila sio mbaya kazana kujifunza kiswahili bado kidogo tu utajua kunyosha maneno ..unajitahidi hata hivyo
I can teach you Swahily my friend. Try to engage your brain just a little
 
Somalia hadi haikua na president....DRC wasee wakutumia panga wanaua trainned bongolala forces
Msione aibu kuomba msaada, TPDF ni jeshi la ukombozi kwa nchi zote za Africa, halijawahi kushindwa vita hata nchi moja iliyoshiriki, Msumbili tulipoteza wanajeshi wengi lakini mwishoni tulishinda vita, Kenya hadi sasa zaidi ya wanajeshi 1000 wameshapoteza maisha na bado vita imeshindikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…