Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umenikumbusha Smocha. 🀣 🀣
I think hawa watu wako tu kwa denialπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£.

There was a time walikuwa wanapost hadi wakikula mihogo lakini tangu nianze kupost bills za 2K and above waliacha kupost those cheap food za vibandaπŸ˜‚
 
Kwani unafanya Uber? 😁
Najua you are not used to such expenditures. Yani mtu akifuel 10k ni kumaanisha anafanya Uber? Hii mambo ya kujaza tank is a new vocabulary to you?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bio nomenclature ndio nini? Wewe hakuna unachojua. Just go back to biology classπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£

The word is Binomenclature which means two names. Bi (two) nomenclature (names). Wewe utabaki kuwa QuackπŸ˜‚πŸ˜‚
As long as ulishindwa kujibu maswali yangu huna haki ya kuniita quack.
Jibu hayo maswali nilokuuliza kule juu then nitakubali hilo jina unaloniita.
Laa sivyo endelea na yako mr.dificle.
 
Watchman whatever I’m spending in a day huezifikia. Pesa yote unapata kwa mwezi can’t manage my weekly expenditures πŸ˜‚πŸ˜‚. Today I fueled 10k, asubuhi na narudi kufuel tenaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜‚

View attachment 3101136
Tanzania sasa hivi tunabadili gari katika mfumo wa compressed natural gas.Mafuta tunapunguza matumizi yake siku hadi siku.
 
As long as ulishindwa kujibu maswali yangu huna haki ya kuniita quack.
Jibu hayo maswali nilokuuliza kule juu then nitakubali hilo jina unaloniita.
Laa sivyo endelea na yako mr.dificle.
You are Quack. Kama Binomenclature ndio hujui kuandika, what do you know?

Hata mtoto wa Form One can write binomenclature properly kukulikoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
I think hawa watu wako tu kwa denialπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£.

There was a time walikuwa wanapost hadi wakikula mihogo lakini tangu nianze kupost bills za 2K and above waliacha kupost those cheap food za vibandaπŸ˜‚
Kila siku walikuwa wanapost vipicha vyao humu wakidhani kila Mkenya anaishi Kibera. Tangu wakenya tuanze kupost huwaoni wakipost kitu.
 
You are Quack. Kama Binomenclature ndio hujui kuandika, what do you know?

Hata mtoto wa Form One can write binomenclature properly kukulikoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Jibu maswali yangu mr.dificle.
Usikimbilie makosa ya typing error.
Rudi juu kajibu maswali yangu.
 
Tanzania sasa hivi tunabadili gari katika mfumo wa condensed natural gas.Mafuta tunapunguza matumizi yake siku hadi siku.
Nobody is talking about type of fuel here. The issue is, can you spend that much in a day? Remember unalipwa mshahara wa 20k kwa mweziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Nobody is talking about type of fuel here. The issue is can you spend that much in a day? Remember unalipwa mshahara wa 20k kwa mweziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Maisha ni bei rahisi Tanzania.
Naweza kupata huduma sawia na zako kwa bei nafuu.
Pia mimi nina mke na familia huishi kibajeti sio kitoto ama kivulana kama wewe.
 
Kila siku walikuwa wanapost vipicha vyao humu wakidhani kila Mkenya anaishi Kibera. Tangu wakenya tuanze kupost huwaoni wakipost kitu.
Nakumbuka pia mambo ya Academic Certificates, walikuwa wamekazana kuuliza lakini vile wakenya walianza kuzipost walipotea woteπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£.

I don’t remember any Tanzanian posting his/her academic certificates hereπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Maisha ni bei rahisi Tanzania.
Naweza kupata huduma sawia na zako kwa bei nafuu.
Pia mimi nina mke na familia huishi kibajeti sio kitoto ama kivulana kama wewe.
20k ndio kitu unaongelea ama? You are a low budget QuackπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umesema umeweka 10k na baadae utaweka tena mafuta. Sasa najiuliza kwani unafanya Uber? I am just curious nothing personal.
Huyu jamaa mshamba sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Anadhani utumiaji wa gharama kubwa ndio utajiri.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Maswali gani? Ya kutojua kuandika Binomenclature?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hiyo typing error wewe endelea kushikilia mr.dificle.
*Ulinijibu what is sanitization?
*Ulinijibu kama je spores wako katika readiness of medical importance!?
*Je ulinijibu kama medicated soap as a tool of sanitization ina ingredients zipi!??

Je ulinijibu haya??
 
Umesema umeweka 10k na baadae utaweka tena mafuta. Sasa najiuliza kwani unafanya Uber? I am just curious nothing personal.
Niliweka 10k asubuhi nikienda Embu, that’s a distance of 267km to and fro, na saa hii nimekwama kwa jam which also consumes fuel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…