I see hakuna vumbi hapoVumbistan haina estate roads. Zote ni vumbi Hadi kwa mitaa ya Kifahari. Nairobi mitaa yote ina lami at least 50% na Kuna mitaa mingine mingi lami ni 100%. Ndio maana tunawaita Vumbistan.
Hawa wakenya nchi yao ni kama jalala aisee, kuchafu sn Kenya.
Sheria kali mbona zinadumu.Watu hawawezi kuhudumia Chinese buses wataweza hizo bus za mzungu? Wanataka kupiga hela za walipa kodi tu.
Maana unavyojibu ni kama hujaelewanninachosema yet Kiko straight forward. Ni dhahiri lugha niliyotumia inakupa changamoto.Kwa hiyo umekimbilia Kiingereza?
Nini sababu ya kuleta Irzar kwa watengeneza vichwa vya malori kuwa buses?
I see hakuna vumbi hapo
View: https://x.com/Ice_Queeeen/status/1836492399335608584?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1836492399335608584%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=
Mpaka wenu naona kuna Lami safi no Vumbi.
View attachment 3100357
Amka kijana.
Huu nadhani ndiyo utakuwa uwanja wa kisasa na bora zaidi hapa Afrika mashariki kama sio Africa nzima.
We naye kwenda zako bhn more than 95% ya Kenya ni vumbi kushoto kulia.Nimesema mitaa ya Kenya iliyo na lami kidogo ni 50% na hiyo ni mitaa ya hadhi ya chini kama hii githurai. Meanwhile hapo Vumbistan utapata Mbezi panapokaa matajiri ni vumbi tupu 80%. Nairobi utapataje vumbi kwa mitaa kama Kitusuru? Hiyo ndio tofauti.
Hayo majina yote yao , ndio maana hata wao wanayapenda wanatumia. hata mwenyekiti ichoboy01 anaweza thibitisha 😂Hilo jina lilikuwa lao, tulikuwa tunaiita vumbistan baadaye NDINDA akawabatiza kundustan na wao ndiyo wakaiga jina la vumbistan lkn ni lakwao kutokana na Nairobi kujaa vumbi everywhere.
Yaani Entry Point Kuingia Vumbistan inakakaribisha na vumbi kabisa 😂ukifika destination unakua hivi.I see hakuna vumbi hapo
View: https://x.com/Ice_Queeeen/status/1836492399335608584?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1836492399335608584%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=
Mpaka wenu naona kuna Lami safi no Vumbi.
View attachment 3100357
Amka kijana.
Haya maneno hata kwa keki yapo.
Maneno mengi uhalisia tofauti amkaHivi hapo huoni lami? Usilazimishe vitu bradhee.😂😂
Halafu nimesema mitaa ya Kenya iliyo na lami kidogo ni 50% na hiyo ni mitaa ya hadhi ya chini kama hii githurai. Meanwhile hapo Vumbistan utapata Mbezi panapokaa matajiri ni vumbi tupu 80%. Nairobi utapataje vumbi kwa mitaa kama Kitusuru? Hiyo ndio tofauti.
Nieleweshe basi kwa kiluo au kikuyuMaana unavyojibu ni kama hujaelewanninachosema yet Kiko straight forward. Ni dhahiri lugha niliyotumia inakupa changamoto.