Masinde Muliro ndio level ya hiyo stadium yenu ya Arushaπππhebu tuoneshe tucheke πππππ
Kwani kuna shida? Hii picha ingepigwa Dar kitu ungekuwa unaona saa hii ni uswazi kila upande ππumesahau na CBD pamoja na westland yote inaonekana vzr kabisa au ww huoniππ
Watakwambia FIFA inawatambua not CAF, while CAF ni FIFA AFRICA CONFEDERATION MEMBER, President wa CAF ni Vice-president FIFA.View attachment 3097909
hawa walishapigwa ban 2021 viwanja vyao kutotumika tena sababu kibao ziliwekwa mpaka leo walikuwa hawaja umodify sasa leo wanatoka huko kuja kujitapa hapaBlow as CAF bans Kenyaβs main stadia Kasarani, Nyayo
NAIROBI, Kenya, Oct 29 β Kenyaβs main stadia Moi International Sports Center Kasarani and Nyayo have been banned by the Confederation of African Football (CAF) from hosting international matches. Thisβ¦www.capitalfm.co.ke
Nyamaza mko na flyover mbili pekee nchi nzimaπππ€£Hako ka flyover mkopo from spain GDP hiyo kubwa kuliko TZ imekuaje tena?
Iwekw hapa kijana.Masinde Muliro ndio level ya hiyo stadium yenu ya Arushaπππ
Mbili?Nyamaza mko na flyover mbili pekee nchi nzimaπππ€£
Masinde Muliro bado haijamalizwa. Na ikimalizwa it will be better than the Arusha Stadium.Iwekw hapa kijana.
Una mdomo sana, as we speak hakuna functioning stadium huko ukunyani inayoweza hold competition.
Unabisha iulize Harambee stars why inazurura na kuna Muliro stadium?
Maliza na Talaka kwanza.
Mko na flyover mbili pekee nchi mzimaπππ€£Mbili?
Baadae wakianza kuandaa finance bill nyingine tusione mnaanza kuremba kiingeraza eti democrazy
According to you?
Weka hata Render kijanaMasinde Muliro bado haijamalizwa. Na ikimalizwa it will be better than the Arusha Stadium.
Masinde Muliro during Holiday Celebration.Weka hata Render kijana
Una Wazimu. WTF is this?Masinde Muliro during Holiday Celebration.
They are currently putting roof and installing seats.
View attachment 3097916
Una Wazimu. WTF is this?
Miaka ya 2024 mnajenga vitu vya 1990s?
Ndio Mnangoja kujenga kama hiyo Arushaπππ€£πUna Wazimu. WTF is this?
Miaka ya 2024 mnajenga vitu vya 1990s?
Yani nyumba ya 11 floors imewashinda kujaza? Nimeanza kuona hiyo banner ya office to let for the past 6 yrs now since that building imalizwe kujengwaπππ€£π
π huo mstari huwa common sanaHawa majamaa hunifurahisha. Ukiona ameanza na ''nimebahatika kutembelea Kenya..............'' jua ni jaba inataka kumwagwa. π€£ π€£ π€£
GOK. Najua unaumia lakini hivo ndio iko and you canβt change it.
Talanta is owned by Kenyaπππ€£πππ
View attachment 3097912