Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,709
Sh 100 ya kenya is like how much in Tz money.? ππ100 bob. Do you have that money?
Multipurpose Stadium.ni nini?
Wivu unakusumbua umebaki unaropoka hovyo hovyo tu.Makwapa is not a football Stadium.
2,100 Tanzanian money. I know you donβt that money with you currently.Sh 100 ya kenya is like how much in Tz money.? ππ
umesema sio football stadium ila ni multipurpose ukiwemo na mpira leta vigezo vya football stadium kuwa approved by FIFAMultipurpose Stadium.
πππ kama unatumia kiasi hiki kupanda daladala basi wewe bado unajitafuta sana. Poor boy.2,100 Tanzanian money. I know you donβt that money with you currently.
Ukilipa one way of 100 bob kwa nganya za Nairobi hiyo siku utalala njaa cause we know how poor you are.πππ kama unatumia kiasi hiki kupanda daladala basi wewe bado unajitafuta sana. Poor boy.
2,100 Tanzanian money. I know you donβt that money with you currently.
Tukijenga kwengine, mnasema tunajenga mahali ambapo hakuna faida, tukijenga Nairobi, mnasema tunajenga Nairobi pekee. Hata maumivu yenu ya Nini?flyover mnazijengewa ni kwa ajili ya viongozi wenu kuendelea kuwapiga pesa, haileti maana leo kuendelea kuijenga nairobi wakati kuna sehemu kibao za nchi yenu hazina maendeleo.
ukiangalia miradi yenu mingi ambayo ingekuwa ndo kama boost ya uchumi wenu na kuwainua wananchi wengi ikiwa imesimama ila kwenu mnasifia majengo na vitu vye uelekeo wa kupendezesha nairobi tu.
Unajifanya unaijua Nairobi alafu unaongea utopolo kama mtu ambaye hajawai kanyaga Nairobi.View attachment 3097534
Hii ni fare kutoka Nairobi kwenda Machakos ambapo ni km 63 sasa unataka kutuambia nauli ndani mji wenu inaweza ikawa nusu ya ile ya kwenda machakos. hivi unajua nairobi wenzio tunakuja na tunapajua kuliko wewe unavoijua tanzania
Makwapa is not a football stadiumπππ€£πumesema sio football stadium ila ni multipurpose ukiwemo na mpira leta vigezo vya football stadium kuwa approved by FIFA
Hawa watanzania ni watu wajinga sana. Wamezoea daladala zao za 5 bob hadi wakiskia mtu analipa nganya fare ya 100 to move a distance of 12 km wanashangaaπππ€£πUnajifanya unaijua Nairobi alafu unaongea utopolo kama mtu ambaye hajawai kanyaga Nairobi.
Im about to show you something keep on waiting.Ukilipa one way of 100 bob kwa nganya za Nairobi hiyo siku utalala njaa cause we know how poor you are.
ukweli ni kuwa mmecncetrate sehem moja wakati tanzania inaijenga nchi nzima huo ndo utofautiTukijenga kwengine, mnasema tunajenga mahali ambapo hakuna faida, tukijenga Nairobi, mnasema tunajenga Nairobi pekee. Hata maumivu yenu ya Nini?
leta [proof kuwa unalipa 100 kwa trip ya less than 12 kmHawa watanzania ni watu wajinga sana. Wamezoea daladala zao za 5 bob hadi wakiskia mtu analipa nganya fare ya 100 to move a distance of 12 km wanashangaaπππ€£π
You want to show me how to eat in a kibanda?πππ€£Im about to show you something keep on waiting.
mimi nimekupa nauli zako ambazo mtu anapanda kwenda machakos ambako ni km 63 kutoka nairobi leta za ndani ya nairobi kuprove kuwa nauli iliyopo minimu ni 100ksh kwa tripIm about to show you something keep on waiting.
Keep on waiting young bro. πππ patience lil bro.You want to show me how to eat in a kibanda?πππ€£
You want to show me how to eat in a kibanda?πππ€£
Dar es salaam hujenga miundombinu kulingana na uhitaji.Mmetoka kitambo while you only have three flyovers in entire Tanzania?πππ€£π.
For your information hata bado hamjaanza na mambo ya elevated roads ( Flyover, overpass, interchanges etc). Again that thing you are showing us iko Kakamega, meaning in road development Dar ni size ya Kakamega.