Pesa yote.Mmeweka shilling ngapi kwenye huo mradi?
Waulize timu zao lini ziliingia group stage. Non football country.Hapana ila tuliwaambia hii michuano ni mikubwa kwenu timu zenu bado hazijafikia level ya kucheza CAF CL NA CC
RB is the constructor. Owner is GOKππππRB ndio nani owner sio?
Huyo fukara utamua kwa stressππ, Umesema aendelee kupost hii?πππ€£ππWewe maskini wa JF kazi yako ni kuitisha picha za watu wakati wewe mwenyewe hujawai toka nje ya Vumbistan? Nakumbuka ulishindwa challenge ya Rhaenyra Targaryen kupost tu picha Moja ukiwa nje ya Vumbistan alafu upo unataka tujadili mambo ya usafiri? Endelea kupost vile vipicha vyako vinakaa baboon na usiniharibie wakati.πππ
Bro, utafanya hii jangili ijitie kitanzi manzee. π€£ π€£ π€£Huyo fukara utamua kwa stressππ, Umesema aendelee kupost hii?πππ€£ππ
View attachment 3097171
Umaskini ni kitu mbaya sana. Kuna siku jamaa alijaribu kutudanganya ati anafanya importation business Kumbe jamaa ni errand boy wa mwarabu pale Kariakorπππ€£π.Bro, utafanya hii jangili ijitie kitanzi manzee. π€£ π€£ π€£
Kuongopa hakukusaidii kitu.Tanzania mliomba dunia kote jist ro finance your SGR. Zingine mliomba Kenyaπππ€£π
Ni dhahiri many Tanzanians humu JF waliwahi kufika kenya na wanapost picha humu unlike you fool, unatuambia umewahi kufika Bongo but no pictures.. tangu ni join huu uzi nina uhakika na mkenya mmoja tu kuwahi kufika Tz yule jamaa wali mu expose akaamua kukimbia uzi.
Hii game Gor mahia alikua anakufa nyingi sema naona Ahly waliwaonea huruma tu.eti huu ni uwanja wa kucheza na al ahly hvi kwann kenya inatutia aibuπππ
nyayo stadium ndio hii imekula pesa yA renovation mara mbili n watu wamekula pesa
View: https://www.instagram.com/reel/C_8QA7puJQS/?igsh=bm8zNnM1dXR1YjE4
Mnakumbuka mlifungiwa ligi yenu!??14 yrs ago Gor Mahia was worth 23 times whatever they are quoting today. No wonder all your media outlets are fake, they give fake statistic and fake stories.
View attachment 3096872
Huyu anakua kama kuku aliyekatwa kichwa.watu wanaongelea 2024 mzee dunia hairudi nyuma πππππ
kilichopo nyuma ni hostoria tu na sio uhalisia ππππ
πππππDaah eti babe.Gor Mahia and other Kenyan teams are just babes in African football.
Non of them une tag hapo amewahi kutoka Kenya pamoja na wewe ππππ utoke nje ya Kenya usipost we mbwa na ushamba uliokuanao. πππWewe maskini wa JF kazi yako ni kuitisha picha za watu wakati wewe mwenyewe hujawai toka nje ya Vumbistan? Nakumbuka ulishindwa challenge ya Rhaenyra Targaryen kupost tu picha Moja ukiwa nje ya Vumbistan alafu upo unataka tujadili mambo ya usafiri? Endelea kupost vile vipicha vyako vinakaa baboon na usiniharibie wakati.πππ
Unadhani mimi ni wewe mpanda matatu .? πππ ππΎUmaskini ni kitu mbaya sana. Kuna siku jamaa alijaribu kutudanganya ati anafanya importation business Kumbe jamaa ni errand boy wa mwarabu pale Kariakorπππ€£π.
Hiyo siku nilicheka sana, alafu jama kalidelete hizo comments and screenshot zote after I exposed his lies. I think anatamani sana kuwa na maisha mazuri and thatβs why akinunua viatu vya 500 bob anapost huku, akikula smocha na soda ya 120 pia anapost hapaπππ€£π
Lini hiyo ligi ya Kenya ilifungiwa?Mnakumbuka mlifungiwa ligi yenu!??
Gormahia ilikua inakusanyaje mapato ya timu kama ligi yenu ilifungiwa!??
Heee ushasahau mara hii!??Lini hiyo ligi ya Kenya ilifungiwa?