Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1) Agriculture output ipi ninyi mnatuzidi??
Labda ulimaji wa maua na chai ama kahawa.
Korosho,maharage,mahindi,mbaazi,maparachichi,mpunga hamtufikii kwa lolote katika hayo mazao.
2)Tanzania ina wachimbaji wakubwa,wakati na wadogo,asilimia kubwa ya wachimbaji wakati na wadogo ni waswahili wabongo,na kuhusu hao wageni ambao ni wachimbaji wakubwa sera za madini zilishabadilishwa za kumnufaisha Mtanzania.
3) Leteni ninyi umeme mnaozalisha ni wa kiwango gani.Na hapo ujue JNHPP haijawasha mitambo yote.
4)Kuhusu reli hapo unaropoka kuileta Burundi.
TRC peke yake ina mtandao wa reli ya Mgr zaidi ya kilometa 2000.
Na sasa inajengwa SGR ambayo inetandazwa zaidi ya kilometa 700 japo inayotumika ni kilometa 500.
TAZARA ina kilometa za reli zaidi ya 1200.
Nani ukanda huu anatuzidi kwa mtandao wa reli??
Nani ukanda huu ana reli ya umeme??
Nani ukanda huu ameboresha reli zaidi ya Tanzania!??
Hiyo treni kukwama ni kawaida masuala ya ufundi na litarekebishika.
5)Kuhusu jeshi Kenya hamtufikii,ukanda huu Tanzania inasifika kwa kuwa na jeshi imara na imeonesha hilo kwa kusaidia operations za amani nchi nyingi.
Hata Msumbiji alimfukuza mkoloni kwa usaidizi wa jeshi la Tanzania.
6) Kuhusu Exports nadhani unaelewa tusichoshane.Hasa exports za agriculture.
7)Kuhusu transport naunganisha point zote mbili.
Ukanda huu hakuna nchi yenye miundombinu bora ya usafiri kama Tanzania,sio wa barabara,wala majini,wala angani,wala wa reli.
Kuanzia njia za usafiri,vituo vya usafiri hadi vyombo vya usafiri.
Hizo changamoto zipo na zitatatuliwa.
BRT haijafeli bali BRT ina changamoto ya upungufu wa mabasi hivyo imeshuka ufanisi.
Kitu kilichofeli hakileti faida,ila BRT inazalisha faida hadi watu wanaiba.
 
Ebu leta evidence Kenya ikipokea dawa ya TB from Tanzania. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
Zingatia nilipozungushia duara nyekundu Health cabinet wenu akisema "we got support from our neighbor Tanzania and stocks are distributed".
Inamaana ingekua hawajapata dawa zisingesambazwa.
Na hiko ni chombo cha habari cha the citizen Kenya.
Tafuta namna ya kupindisha taarifa maana mwenzako alikuja kutudanganya akidai kisa logistics hindrance za supplier ndio wakapata shortage of supply from October 2023 to January 2024.
Aya na wewe lete kisingizio chako.
 
Treni imekwama mara 3 hadi sasa.
Hizo mara 7 sijui umezitolea wapi!?
Pia reli yetu ipo kipindi cha uangalizi wa mkandarasi.
Msio na reli ya umeme hamuwezi elewa hili.
Uvimbe upasuke reli imekwama Mara 7 ndani ya miezi miwili. Siwezi tamani kulala porini. Kama ni electric wacha I kae πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…