Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila wewe ni zuzu sana nikipitia hii draft naona kitu mnauza sana bongo ni sabuni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sasa sabuni ni kitu ya kuwa pround .?
haha azam aliwahi wapelea moto wa ngano wakaanza andamana na ndo maana unaona products nyingi hazitoki bongo kwa sababu ya protectionism
 
See what Kenya is selling to Tanzania, even trucks, tractors, buses and cars we are selling to you. Not forgetting Toilet papersπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

View attachment 3094869

usiseme unauza sana huku watu wakiamua kuwapelea moto mnakimbilia kwenye ban tufanye free trade without embargoes tuone kama mtaweza
 
Jana nilikuwa manundu kati Korogwe baada ya kutoka Shamba nikawa nimepita dukani kwa mwana mara wakaja wamarekani wakujitolea wapo Nyerere sec school walikuwa watatu mmoja kazunguka sana Africa na wawili ndo mara yao ya kwanza kukanyaga Africa,nikamuliza Kenya na Tanzania uneza ishi wapi Akasema Tanzania nikamuliza kwa nini akasema Watanzania ni wachangamfu kwa kila mtu ila Kenya ni kabila lake tu ndio wanalo changamkiana, Akasema amependa kujifunza Kiswahili Nairobi ni kuchafu sana na uslama ni mdogo sana kwa wageni wakaniambia wikendi watanipigia tukagonge vyombo
 
Naomba end product ya coal tafadhali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
haha azam aliwahi wapelea moto wa ngano wakaanza andamana na ndo maana unaona products nyingi hazitoki bongo kwa sababu ya protectionism
Naelewa vizuri tu kama hawa jamaa bila protectionism policy they are nothing to us. Wakiruhusu bidhaa za bongo ziingie ipasavyo, biashara yao ya ndani yote inakufa.
 
Ni bus park. Ama ulitaka iwe nini?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
Passengers wanakaa wapi hapo na bus slots ziko wapi au unafikiri sisi hatujui how a bus park looks like?
Hiyo ni business Park Nyeri tunaijua watu wanakaa kwenye converted silos huko kote tumeshachafua Embu,, Nyandarua county, Nyaruhuru, kiganjo, Nyeri, Isiolo, meru etc
Hutudanganyi kitu huko.
 
Tanzanians have no experience in driving in a freeway, they should come to Kenya and enjoy Thika Superhighway and Nairobi expressway.

View attachment 3094771
Tumeshaendesha kwenye motorways kubwa sana duniani itakuwa hapo na pia nimeshaendesha hapo wala hakuna feeling yoyote tofauti na highway ya kawaida foleni kama Kawa na exit za city centre ziko jammed it defeats the whole meaning ya hiyo barabara.
 
Tumeshaendesha kwenye motorways kubwa sana duniani itakuwa hapo na pia nimeshaendesha hapo wala hakuna feeling yoyote tofauti na highway ya kawaida foleni kama Kawa na exit za city centre ziko jammed it defeats the whole meaning ya hiyo barabara.
Maybe uliendesha ndotoniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…