concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,485
wala mimi sipingani na wewe ila nachotaka unambie huu ni mwaka ganiTanzania only had a surplus against Kenya in 2021. Years zingine zote from 2000 they have been having a deficit.
Huyu mzungu kawaname vzr.But everyone knows that Kenya is more developed than Tanzania while Tanzanians are more poorer than Kenyans.
yaan kitu kimoja wakenya kinachowaponza ni kuwa mmekariri kuwa nyinyi ni dominant sasa kitu msichojua ni kuwa karibia kila nchi inayowazunguka inazid kudevelop na kuzidi kuwanyanganya soko. kenya kwa miaka unayosema ilikuwa na advantage kwa sababu tanzania kupitia central corridor ilikuwa haijafunguka na kwa kukumbusha tu miaka ya 2007 kurudi nyuma ili kuja dar iliwalazimu watu wapitie namanga sababu kuwepo ubovu wa barabara ila kwa sasa kupitia central corridor imekuwa njia rahisi sana.Tanzania only had a surplus against Kenya in 2021. Years zingine zote from 2000 they have been having a deficit.
Ava upande wa magari,maghorofa kilimani,upperhill,eastleigh somalia ndani ya kundustan,expressway,thika road hapo wamemaliza,kingine kiingereza kibovu baada ya hapo wanarudi mukuru kwa njenga kupigwa na mbu na jotohivi kumbe kwa miaka yote maendeleo kenya ni kuonesha majengo tu? hamna plan zozote walau za kuwakwamua wananchi wenu na umaskini
Wewe shoga leo umetoboa wanaume wangapi?Bado mnahangaika na ng'ombe yenye vidole kama vya mamba? 🤣 🤣 🤣 🤣
Teargas Fingers
View attachment 3094511
Kwa vidole hivi. Haki ya nani wewe unaishi maisha duni tena unakaa Kibera ndani ndani kabisaWewe shoga leo umetoboa wanaume wangapi?
wamekalia magorofa wakijua ndo maendeleo huku wakijisahau kuwa tanzania ishawafanyia umafia watakuja shtuka wamepoteza nda hilo soko la uganda.Ava upande wa magari,maghorofa kilimani,upperhill,eastleigh somalia ndani ya kundustan,expressway,thika road hapo wamemaliza,kingine kiingereza kibovu baada ya hapo wanarudi mukuru kwa njenga kupigwa na mbu na joto
Trade between Kenya and Tanzania for the past years.yaan kitu kimoja wakenya kinachowaponza ni kuwa mmekariri kuwa nyinyi ni dominant sasa kitu msichojua ni kuwa karibia kila nchi inayowazunguka inazid kudevelop na kuzidi kuwanyanganya soko. kenya kwa miaka unayosema ilikuwa na advantage kwa sababu tanzania kupitia central corridor ilikuwa haijafunguka na kwa kukumbusha tu miaka ya 2007 kurudi nyuma ili kuja dar iliwalazimu watu wapitie namanga sababu kuwepo ubovu wa barabara ila kwa sasa kupitia central corridor imekuwa njia rahisi sana.
tukija kwenye exports kuja kwenu
usafirishaji mkubwa hasa mahindi na mazao kama avacado ilitoka tanzania kenya halafu nyinyi mkawa mnafanya exportation. lakini kwa sasa kuna viwanda lukuki vimefungwa kwa mfano ukienda songea kuna mohamed enterprises super feo na viwanda kadha wa kadha ambavyo vinafanya processing kwa ajili ya kupeleka moja kwa congo, rwanda mpaka sudani kwa hiyo lazima mahindi kwenu yamepunbue lakini bei haijashuka .
central corridor inaenda kuwapiga kwenye biashara ya mizigo mpaka mtashangaa
barabara ya kutoka tanga kiteto kwenda singi inajengwa hivi na bandari ya tanga tayari inafanya kazi, hivyo tegemeni mombasa kushindana na banadri tatu yaani tanga, dar es salaam na mtwara ambazo mpaka sasa zote zinafanya kazi wakati ya lamu hata foundation stone bado.
hivi rwanda atakubali kweli kuendelea kutumia mombasa wakati kutoka tanga kwenda kigali anapunguza zaid ya km 500 barabara ya tanga-kiteto -singida ikimalizika
Kuna mwenye amewadanganya ati voting imeanza? Mbona msitumiange akili nyinyi?Hata mimi nilisema Rao hashindi hiv hapa Africa walishawahi kuwa na kiongozi wa ngazi za juu kweli
Achana na haya mambo ya 2016. Wewe haupo sawa kichwani. Nenda kwa doctor
Yet your politicians and wealthy people are airlifted to Kenya for treatment everyday. Kuwa na hospitali moja ya maana sio development.You are just stupid.
"Furthermore the Institute also receives patients from nearby countries, especially those sharing borders with Tanzania including Kenya, Malawi, Comoro Island, Zambia, Uganda, Rwanda, Burundi, Uganda, Democratic Republic of Congo, Zimbabwe, Sudan and Somalia."
View: https://x.com/dailynewstz/status/1834224385097355708
Wewe shoga mambo vipi. Ushachimba Kundu la wanaume wenzako?😂😂Achana na haya mambo ya 2016. Wewe haupo sawa kichwani. Nenda kwa doctor
tunaomba za kuanzia 2019-2024Trade between Kenya and Tanzania for the past years.
And Kenya is still the most developed country in East Africa, everybody knows that.
View attachment 3094515
ingependeza ukileta linkTrade between Kenya and Tanzania for the past years.
And Kenya is still the most developed country in East Africa, everybody knows that.
View attachment 3094515
Bandari ya tanga ikifanyiwa ufanisi hadi uganda wataitumia,TZ tulilala sana aisee!yaan kitu kimoja wakenya kinachowaponza ni kuwa mmekariri kuwa nyinyi ni dominant sasa kitu msichojua ni kuwa karibia kila nchi inayowazunguka inazid kudevelop na kuzidi kuwanyanganya soko. kenya kwa miaka unayosema ilikuwa na advantage kwa sababu tanzania kupitia central corridor ilikuwa haijafunguka na kwa kukumbusha tu miaka ya 2007 kurudi nyuma ili kuja dar iliwalazimu watu wapitie namanga sababu kuwepo ubovu wa barabara ila kwa sasa kupitia central corridor imekuwa njia rahisi sana.