Tatu in less than 3 months. π€£ π€£ π€£ Kwa hivyo kila mwezi itakua ikipata hitilafu.Unaposema Frequency unamaanisha nini? Zimepata hitilafu mara ngapi? Kwa kumbukumbu yangu ni mara tatu tu tangu tuanze.
ila taa zitatengeza foleni ya hatari
ww mwehu SGR yetu imeanza kazi lini ??2 years later, the trial period haijawai isha. π€£ π€£ π€£ Wacheni jokes.
Trial mulianza lini? Nijibu bila hasira plz? π€£ π€£ π€£ww mwehu SGR yetu imeanza kazi lini ??
nijibu bila hasira plzπππ
Mkenya unapata wapi audacity ya kuongelea stadium mbele ya mtanzania, mpaka sasa mnacheza nje ya nchi yenu kutokana na kukosa uwanja, kaa kimya.Benjamin Mkapa is not a football stadium and it's outdated.
Bora wamesema wenyew...wakenya wenye akili....mimi nikisema naonekana na chuki...
π€£π€£π€£π€£hapa wameenda kutafuta picha za majengo
Ruti mbili tu za asubuhi tayari unapata abiria 2,000. πππNaona figure zimekushtua. Pole sana waulize youtuber wenu kama kuna trip wa;ienda na treni haukujaa. In fact watu wanataka more trips ila TRC wako reluctant hawawezi kutumia hizi numbers kuweka ratiba ya kudumu kwasababu mpaka sasa hawajui ni real demand au ndio wale wanapanda kutoa gundu.
Ni hivi treni inabeba abiria kama 970 full capacity, amua wewe utapunguza wangapi upate figure unayotaka halafu zidisha mara 4 trips za Dar-Dom-Dar na 4 trips za Dar-Moro-Dar.
Halafu usitupangie treni yetu ifanye nini. Ndio maana unaona tumenunua coaches za abiria tu for now tunajua when tutaanza na mizigo usitupangie. Wewe deal na lile gari moshi lenu. Hivi ushawahi hata kulipanda? I dont think so! Wala sishangai hata wale youtuber wenu wengi hawajawahi kupanda gari moshi lenu ila washapanda sgr ya Tz.
TAZARA loading....
Prove it acha propaganda za mama Ngina.I was forgetting your demand is 900MWπππ
Hawa wivu unawasumbua! Hawajui sasa hivi watu vichwa vinawauma wataongeza vipi ukubwa wa station!Ruti mbili tu za asubuhi tayari unapata abiria 2,000. πππ
huna akili wewe SGR toka imeanza haijamaliza hata miezi mitatu unataka kunambia mkandarasi atakua kashamaliza kazi yake au?? ikiwa treni yenu mpaka leo miaka 7 inasimamiwa na wachina ππππππTrial mulianza lini? Nijibu bila hasira plz? π€£ π€£ π€£
Don't confuse transport system Vs means of transport, mumbi.Ndio akili zako hizo.., eti kigezo cha city ni transport system.., pia kutumia punda is also a system of transport kilaza, ama utabisha? ujinga mzigoπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£.,
Umeumie eh? π€£π€£π€£π€£
Sababu ni nyingi sana zinazokufanya uumie. Pole, tunajua mtazoea tu kama kwenye BRT.Tatu in less than 3 months. π€£ π€£ π€£ Kwa hivyo kila mwezi itakua ikipata hitilafu.
π
Kwa hivyo trial haikuanza 2 years ago? π€£ π€£ π€£ Au hujui maana ya trial.huna akili wewe SGR toka imeanza haijamaliza hata miezi mitatu unataka kunambia mkandarasi atakua kashamaliza kazi yake au?? ikiwa treni yenu mpaka leo miaka 7 inasimamiwa na wachina ππππππ
Uko na hasira za kuwa na mikono ngumuπππ€£π. Iβm sure skin of your palm is pilled off, a sign of suffering. ππUmeumie eh? π€£π€£π€£π€£
Trust me hiyo mikono imejeruhiwa sana na kazi ndio maana picha yako na rollers ukiwa college ulikunja vidole kuficha sugu.π
Tangu lini mtanzania akajua Kingereza?π
Does these hands looks - wrong
Do these hands look - right
English ya mama Ng π€£π€£π€£
Kama wewe ndiye msomi kwenye ukoo wenu, basi wazazi wako wamesomesha kondooTangu lini mtanzania akajua Kingereza?