Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bro mbona unajikosesha usingizi because of me? Yes I'm dark but with good and shiny skin.😂😂

View attachment 3093633
🤣 🤣 🤣 🤣 Dunia simama nishuke

1726090053095.png
 
Daah hapo ndo shiny skin.
Dalili za mkono tu ni kuwa ni mtu wa njaa saana angalia mishipa ilivyotokeza . Pia hata koti ulilopigia picha kwa kitambaa tu kinaonesha ni Cha Bei rahisi
Tangu lini sweater ikawa koti? Are you normal really? Ama hata koti hujui ni nini? Alafu wapi kitambaa kwa hiyo picha? Ama hujaiona kiti kama hiyo?😂😂🤣😂
 
Back
Top Bottom