Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,206
- 35,586
Njoo ww na hiyo pesa uwe milionea,kuna kunyan wenzako wapo hapo TZ gardener kwa mshahara usd 80 kwa mwezi na wakija kunyaland matajiriAlikuja Tanzanuw na Ksh 60k akakuwa millionaire instantly 😂😂🤣
Hata wakija hapa hakuna support watapata kutoka Tanzania, watanzania wamebadilika siku hizi, wanajua marafiki na maadui zao, Kenya ni adui yetu, na nikuambie tu kwenye group lao hawapiti hata kwa dawa, Kenya haina uwezo wa kupata matokeo Zimbabwe wala Cameroon.Hilo group Kenya wakitulia wanapita, sema sasa wanatakiwa mechi zao ,a home wafanye hapa ili tuwape support. Huko Malawi nani anawashangilia.
Kenya lives rent-free in your heads.Hao machawa ndo wanatuaribia hii nchi...
Nimependa hawa waamerica waliosema kuhusu Tanzania...na ni kweli sikatai kuna shida
Sijui viongozi wetu hiz video wanazitizama hiz?
Wameamua wakimbilie zao Botswana Maskini...
Kenyan na vimbelembele vyao vya kudanganya dunia kuwa wako better than other Africans check wanavyojaribu kuwakaribisha kenya kwa nguvu zote wakiiponda Tanzania na nchi nyingine...wanasahau watu wanafanya research na nashukuru kuna watu wamesema hapo Kenya ni even worse than Tanzania kwa corruption na bureaucracy
Sema na hao waliyatimba. Sisi tunataka kuondoka hapa Tz tukimbie hiz cartels zinazoendesha nchi wao walikuja hapa ( sema walikuja kipindi cha magu)
Taasisi zilizofanya wahame ni Uhamiaji na TRA.
View: https://youtu.be/AbxMwPYKiHU?si=OF9FOZ7DdZGXbmmB
CEO kama nani mtaje mmoja tu😂😂😂Ndio maana CEOs wao wanatoa Kenya.
pambaneni na adani kwanza 😂😂😂Kenya lives rent-free in your heads.
So, kama sio football stadium kwann football inachezwa hapo, ikiwa fainali za kombe la dunia zinachezwa kwenye olympic stadium we ni nani useme hivyo, nchi zote duniani zinajenga olympic stadiums, klabu pekee ndiyo huwa zinajenga uwanja usio na running track, nyie ni the failed state na ndiyo maana mkawaomba wachina wawape msaada wa uwanja alafu kibaya zaidi mmejenga uwanja usio wa olympic ilihali nyie sio watu wa mpira. Nakuhakikishia huo uwanja utageuka ghost 👻 in next two years after completion mana hamna timu za kutumia huo uwanja na hamna pesa za maintenance.Mmezoea nini? Hivi mna football stadium ya 60,000 seater? Hiyo Arusha sii football stadium na ujenzi haujaanza otherwise hamngenyamaza humu.
Najua unaelewa Football stadium ni nini unajifanya ngómbe. Ingejengwa hapo kwenu hungenyamaza.So, kama sio football stadium kwann football inachezwa hapo, ikiwa fainali za kombe la dunia zinacheza kwenye olympic stadium we ni nani useme hivyo, nchi zote duniani zinajenga olympic stadiums, klabu pekee ndiyo huwa zinajenga uwanja usio na running track, nyie ni the failed state na ndiyo maana mkawaomba wachina wawape msaada wa uwanja alafu kibaya zaidi mmejenga uwanja usio wa olympic ilihali nyie sio watu wa mpira. Nakuhakikishia huo uwanja utageuka ghost 👻 in two years after completion mana hamna timu za kutumia huo uwanja na hamna pesa maintenance.
Can you explain this? Je, ni kweli na wewe hutumii maji wakati ni mwanamke?Najua unaelewa Football stadium ni nini unajifanya ngómbe. Ingejengwa hapo kwenu hungenyamaza.
Kwani hajakwambia ukweli? 🤣 🤣 🤣
Kwahiyo na wewe hujisafishi na maji?Kwani hajakwambia ukweli? 🤣 🤣 🤣
Football stadium ndiyo nn mbwa wewe, vilabu vyetu Azam, KMC, Yanga n.k vinajenga viwanja vyao, nyinyi hapa tunapoongea hamna klabu hata moja yenye uwanja, sisi tayari tuna viwanja visivyo na running track, nyinyi hamna lkn bado unaongea mbele yangu.Najua unaelewa Football stadium ni nini unajifanya ngómbe. Ingejengwa hapo kwenu hungenyamaza.
Haya ni mavi yako haya 👇 👇Najua unaelewa Football stadium ni nini unajifanya ngómbe. Ingejengwa hapo kwenu hungenyamaza.
Halafu hiyo picha yako ya JamiiForums.com inakaa ya msengemsenge hivi. Mwanaume kamili aweke picha ya mwanaume mwenzake anayekaa hivi? Teargas toa maoni.Kwahiyo na wewe hujisafishi na maji?
Weka hiyo dandora jua kali tuone.Hamna lolote hapa, kama Dandora stadium tu.