President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,637
- 94,269
Amka kijana toka kwenye ndoto. Dunia inasonga mbele haiwasubilii wakenya. 🤣 🤣 🤣 🤣Iweze kuwa hizi stori za Kinjekitile toka Bongo ni za kweli!? Yaani zile za kujipaka vumbi uzuie risasi!!? Maana Wabongo walahi hamna akili. Mtu wa kupanga foleni, na wakutimua nani abauhakika atapata gari!? La pili kulingana na situation hizi mbili ipi ya ustaarabu, foleni ama fujo!?
tatueni matatizo yenu😂😂😂Iweze kuwa hizi stori za Kinjekitile toka Bongo ni za kweli!? Yaani zile za kujipaka vumbi uzuie risasi!!? Maana Wabongo walahi hamna akili. Mtu wa kupanga foleni, na wakutimua nani abauhakika atapata gari!? La pili kulingana na situation hizi mbili ipi ya ustaarabu, foleni ama fujo!?
Wanagawa ardhi yao ili wazungu wawaandike kwenye papers kuwa wapo na Big GDPtatueni matatizo yenu😂😂😂
munamatatizo mpaka kwenye kula yenu
View: https://x.com/ntvkenya/status/1833434222524035570?s=46
Kwa hiyo unataka kusema Matatu ikija hapo hawagombanii? Kwa nini mnapenda uongo?Iweze kuwa hizi stori za Kinjekitile toka Bongo ni za kweli!? Yaani zile za kujipaka vumbi uzuie risasi!!? Maana Wabongo walahi hamna akili. Mtu wa kupanga foleni, na wakutimua nani abauhakika atapata gari!? La pili kulingana na situation hizi mbili ipi ya ustaarabu, foleni ama fujo!?
Wapo na haki ya kuongea kama binadamu wenzetu. Hata hivyo Rais ameshatoa Tamko Tunasubiri utekelezaji.nilisema mm hii sio picha nzuri kwa taifa
haina afya kabisa kwa taifa
tumekaa kimya watoto wanaibiwa, watu wanatekwa wanateswa na kuuwawa just simple like that, tunapandikiza chuki ya vizazi na vizazi ni hatari sana
View: https://x.com/euintz/status/1833386471174095012?s=46
Sawa Bushman 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ua kabisaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
very painful bro hasa kwa nchi yenye amani kama tanzania hatutakiwi kufika huku kabisa haya mambo tuwaachie wakenya ambao wana tribalism, siasa zao ni za kikabila lakini sio kwa tanzania tusiruhusu haya mambo kwa sababu yanapandikiza visasi ndani ya vizazi vyetu, hata kama anamakosa ya aina gani tusifike kuuwana kwenye kizaWapo na haki ya kuongea kama binadamu wenzetu. Hata hivyo Rais ameshatoa Tamko Tunasubiri utekelezaji.
Hakuna mtu anayefurahia jambo hili. Kumbuka kuna watu walikuwa wanataka ku sabotage Rais wakiwa kwenye nyadhifa. Lazima kujua akina February na wenzake walifurahia kutumbuliwa?nilisema mm hii sio picha nzuri kwa taifa
haina afya kabisa kwa taifa
tumekaa kimya watoto wanaibiwa, watu wanatekwa wanateswa na kuuwawa just simple like that, tunapandikiza chuki ya vizazi na vizazi ni hatari sana
View: https://x.com/euintz/status/1833386471174095012?s=46
WAHUNI waliosemwa na Polepolevery painful bro hasa kwa nchi yenye amani kama tanzania hatutakiwi kufika huku kabisa haya mambo tuwaachie wakenya ambao wana tribalism, siasa zao ni za kikabila lakini sio kwa tanzania tusiruhusu haya mambo kwa sababu yanapandikiza visasi ndani ya vizazi vyetu, hata kama anamakosa ya aina gani tusifike kuuwana kwenye kiza
Nani asiyepanga foleni? Tatizo unapanga foleni katika ustaarabu upi, angalia foleni ya kistaarabu hii sio hiyo yenu ya third world country 👇👇Iweze kuwa hizi stori za Kinjekitile toka Bongo ni za kweli!? Yaani zile za kujipaka vumbi uzuie risasi!!? Maana Wabongo walahi hamna akili. Mtu wa kupanga foleni, na wakutimua nani abauhakika atapata gari!? La pili kulingana na situation hizi mbili ipi ya ustaarabu, foleni ama fujo!?
Teargas, hawa ndugu zetu wa kusini wanavituko. Hawajui mbona wao huwekwa kundi la LDC. YAANI HAWANA HABARI MBONA.Tupo hapa ndio maana kelele zao zinaishia GDP kubwa,sarafu kubwa na magorofa na interchanges.
Ila ukiwaambia leteni miradi ya maana inaowagusa wananchi hawana.
Na wakufata daladala bado wapo sivyo!?Nani asiyepanga foleni? Tatizo unapanga foleni katika ustaarabu upi, angalia foleni ya kistaarabu hii sio hiyo yenu ya third world country 👇👇View attachment 3092372View attachment 3092373
Nyie wakenya tumewaacha mbali sana 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Kundudwellers hawana haki ya kuongea na Watanzania kwenye issue ya TransportNa wakufata daladala bado wapo sivyo!?