Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huna akili na huna upembuzi.
Serikali kukatikiwa na fedha ni jambo la kawaida.
Kenya wizara yenu ya afya ilikatikiwa na fedha ndio maana m miezi minne bila dawa.
Kama mngekua na fedha mngenunua mwezi ule dawa zilivyoisha.
Wacha kutafuta sababu zisizo na mashiko.
K have asked you to prove your claims umeshindwa sasa si heri unyamaze tu?
 
Hey black man look at this, najua umezoea kuwaangalia kwenye video watu kama hawa 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20240909-213928~2.png
 
Show me anywhere in the citizen article you shared it's indicated that the shortage was occasioned by Kenya's inability to buy the drugs because of lack of money. It's your own article you shared here.

Also, show us that tulimatiwa na bajeti katika wizara yetu ya fedha. I am waiting bongolala
Umeshindwa kuleta proof unanitupia mpira!??
Naurudisha huo mpira,for your common sense ni logistics gani hizo zinaweza pata changamoto ya 4 months consecutively kiasi mshindwe ku supply dawa za TB!??
Nimefunga mjadala kaa tafakari hilo swali kama kijana makini.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3091914
Hahahaaaa Watchman naye kacheka leo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Watu wanaenda kutengeneza lips ziwe kama zangu wewe ni nani upinge, wivuuu kwasababu wakenya wengi mko wabaya mnafosi watanzania pia tuwe na sura mbaya kama nyie🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hahahaaaa Watchman naye kacheka leo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Watu wanaenda kutengeneza lips ziwe kama zangu wewe ni nani upinge, wivuuu kwasababu wakenya wengi mko wabaya mnafosi watanzania pia tuwe na sura mbaya kama nyie🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe ndio watchman bwana. Mbona unaibika na kazi yako hadi unalizimishia watu wengine?😂😂🤣
 
We are waiting for the 8th stalling of those refurbished trains which will happen this month😂😂🤣
Treni imekwama mara 2 kwa shida ya umeme hadi sasa.
Umeambiwa uthibitishe madai yako umeshindwa,huwa sibishani usenge.
Usiku mwema.
 
Back
Top Bottom