Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzee hizi taarifa umezipata wapi? Gari la Tashirif plate no yake ni ipi? Hilo Gari jeusi aina ya V8 lilikuwa halina plate No? Mbona simple tu mzee.

Tutajua mengi wewe unatakiwa uvute subira.
 
Jikite kwenye hoja πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C_qeEhnNP5D/?igsh=MTM2aTFlaDg4Z2E4bg==
 
Nimezunguka sana ulaya sijawahi kuona ulaya iliyozungukwa na slums,ulaya ya watu wanaoshindia mlo mmoja πŸ˜€
 
Huyo ndiye Nyerere? Miaka ya 70s Tanzania ilikuwa mbele ya Kenya tena kwa mbali sana. Nyie mlikuja kujikongoja miaka ya 80s baada ya Tanzania kuingia kwenye vita na Uganda. So tumerudi kwenye nafasi yetu. Itabidi mvumilie tu.
Kulijiliwaza ruhsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…