Capt Richie
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 1,503
- 3,818
Sikatai. Ila hao wa Fiber huwezi ona walianza mahali!? Wakaanza na zile vyuma na mabati, wakapata Experiences na Capital wakaupgrade!?Usituletee uchafu hapa. Unatuletea vyuma hapa. Technology ya Board inayotumika kwa sasa ni Fiber Board. Sasa hayo mavyuma chakavu, yanaongeza uzito wa bus kabla halijabeba kitu chochote.
Huko China na Brazil kuna source of material. Nyie material mnapata wapi?Sikatai. Ila hao wa Fiber huwezi ona walianza mahali!? Wakaanza na zile vyuma na mabati, wakapata Experiences na Capital wakaupgrade!?
OK, sasa wewe furaha yako iko wapi watoto wawenzio huko China na Brazil, wakiunda kitu wanakuuzia kisha unaringa!? Fahari gani ipo hapo!?
Ww thinking and learning capacity yako ni ndogo Sana haya mm nakupa mfano mdogo SanaNdo maana nikasema Tanzania hamna akili. Hivi hivi tu ndivo nyie hufikiria. Yaani hata mtoto mdogo aweza fikiria akazidi wewe!? Soma ulichoandika kisha tafakari tena.
Tatizo ninyi wakenya hamna akili, huwa mnakurupuka tu ili muonekane na nyie mnaweza, teknolojia ya kuunda gari nyie bado sanaa, kwanza hamna material wala capital ya kufanya hivyo, kama ni assembly plant na sisi pia tunayo na tunatoa trucks za first world countries hata nyie nmesikia mmeanza kununua, sasa hapo nani hana akili. Nenda Google Sinotruck plant in Tanzania utajiona ulivyo bwege.Sikatai. Ila hao wa Fiber huwezi ona walianza mahali!? Wakaanza na zile vyuma na mabati, wakapata Experiences na Capital wakaupgrade!?
OK, sasa wewe furaha yako iko wapi watoto wawenzio huko China na Brazil, wakiunda kitu wanakuuzia kisha unaringa!? Fahari gani ipo hapo!?
Wanadhani Technology ni maadamano na kupiga kelele kwenye mitandao. Kenya hakuna pesa serious investors kwa sasa hawezi wekeza KundustanTatizo ninyi wakenya hamna akili, huwa mnakurupuka tu ili muonekane na nyie mnaweza, teknolojia ya kuunda gari nyie bado sanaa, kwanza hamna material wala capital ya kufanya hivyo, kama ni assembly plant na sisi pia tunayo na tunatoa trucks za first world countries hata nyie nmesikia mmeanza kununua, sasa hapo nani hana akili. Nenda Google Sinotruck plant in Tanzania utajiona ulivyo bwege.
Kakimbia sijamuona tena🚮Nimeshaamua kuachana naye😂😂😂😂😂.
Unamuuliza maswali anakwepa kwepa tu.
Waambie Nyangau walete picha kama hii dunia isimane mimi nishuke sasa hivi 🤣🤣🤣Kama mbele mwanangu ❤️ ❤️ 😘 😘 😍 😍 🇹🇿 🇹🇿 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
View attachment 3090176
Imeshafika Dodoma 😁
Bus kama hili hata likilatisha vichochoroni Dar mbele ya traffic halichomoki ni central moja kwa moja kutoka majaliwa.Ila wakenya kweli ni ng'ombe, SASA ww unashangilia nn ikiwa munafanya assemble while everything muna import, au kitu gani munaunda wenyewe kama ni body sheet munaagiza, chassis munaagiza, bolts and nuts munaagiza ,engines munaagiza, dashboard munaagiza, hebu nitajie kitu gani ambacho hakiagizwi kutoka nje 🤣🤣🤣🤣
Alaf hii ndio final product mkenya anapanda humu eti anasafiri 🤣🤣🤣🤣
Zunguka dunia nzima nchi ambazo zimeendelea kama utakuta huu ushuzi, no wonder hata wazungu wanawaona nyinyi kama kondoo
View attachment 3090052View attachment 3090053View attachment 3090054