President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,666
- 94,321
Nitakuwa nadokoa kidogo kidogo kuhakikisha haendi nje ya mada. Sasa hivi anataka kukukimbia. Anataka kukwepa issue ya Usafi mimi macho yangu yapo hapa leo.Muache leo nataka nione huko Kenya kweli kuna elimu au matatizo.
Muache nimbamize.
๐๐๐๐
Usilete trivial reasons kwenye science kijana.Wewe elimu yako na zero kama you canโt even name microorganisms properly๐๐๐คฃ๐
Kijana acha kukimbia swali. Hapa tunaongelea Usafi. Kujisafisha baada ya kunya.Is Bionomenclature not a science?๐๐๐คฃ๐.
If you donโt know anything about nomenclature then you donโt know anything about Biology to be precise๐๐
Binomial nomenclature is the core and heart of microorganisms and diseases. You canโt wish it away. For your information, nobody will take you seriously if you continue writing candida albicans instead of Candida albicans. You need to revisit your Microbiology books๐๐Usilete trivial reasons kwenye science kijana.
Nina kitabu cha udaktari kilichoandikwa na Doctor Yusuf Cengel na ameandika kama nilivyoandika.
Na humpati ni super specialist wa Paediatric From Philadelphia US.
Wewe kenge unaleta trivial reasons kwenye science.
Hizo ni trivial reason.Is Bionomenclature not a science?๐๐๐คฃ๐.
If you donโt know anything about nomenclature then you donโt know anything about Biology to be precise๐๐
Clostridium Diff is spread as spore.
Alafu cha kusikitisha wewe sio muingereza bali ni mkenya wa gikomba ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃIn my case, Dick riding is used as a proper noun fool. Do you even know what a proper noun is?.......sorry, you obviously don't. Tutawapea English classes humu hadi kieleweke
The only African ever to become the UN Secretary General is Koffi Anan. Hakukuwa na mwingine before him na hakujakuwa na mwingine after him.Fala wewe Asha Rose Migiro aliwahi kuwa UN general secretary miaka 15 iliyopita.
Ndio maana nimetumia neno aliwezaje kuteuliwa.
Bado unatembea na mbolea matakoni?Wewe elimu yako na zero kama you canโt even name microorganisms properly๐๐๐คฃ๐
How can you say you did a unit in Microbiology when you donโt know the naming?๐๐๐คฃ Thatโs usually the introduction in microbiology. You are fake and idiot at the same time๐Hizo ni trivial reason.
Usitafute pa kukimbilia.
Mimi sijasoma naming of organisms mimi nimesoma medical importance of the organisms.
Kwa kuanza kumtaja ni aina gani ya species,lifestyle yake,how is transmitted,disease it cause,symptoms, laboratory importance of the organism and the treatment or medication of the disease caused.
Sawa kijana??
Aya does the spore already in a stage of causing a disease??
Safi sana muamko wa timu zetu kujenga viwanja vyao unazidi kushika kasi, miaka 10 kuanzia sasa viwanja hivi vitakuwa vikubwa na bora sana, hizi ni baadhi ya sababu ya vilabu kuwa na nguvu za kiuchumi.
Embo soma hapo uone Yusuf Cengel alivyoandika na huyo ni daktari bingwa wa watoto.Wewe elimu yako ni zero kama you canโt even name microorganisms properly๐๐๐คฃ๐
Bado unavaa mtumba nyeusi full na buti la SGR?How can you say you did a unit in Microbiology when you donโt know the naming?๐๐๐คฃ Thatโs usually the introduction in microbiology. You are fake and idiot at the same time๐
Embo soma hapo uone Yusuf Cengel alivyoandika na huyo ni daktari bingwa wa watoto.Wewe elimu yako ni zero kama you canโt even name microorganisms properly๐๐๐คฃ๐
Watchman Naona unatafuta attention yangu. Saa hii tunaongelea mambo ya wasomi, ngoja tukianza kuongelea mambo ya kubeba rungu na torch ntakuita๐๐๐คฃ๐Bado unavaa mtumba nyeusi full na buti la SGR?
A. Ndiyo
B. Hapana
C. Nipe muda.
Umeacha kuvaa mitumba?Watchman Naona unatafuta attention yangu. Saa hii tunaongelea mambo ya wasomi, ngoja tukianza kuongelea mambo ya kubeba rungu na torch ntakuita๐๐๐คฃ๐
Bro Binomial Nomenclature is an important thing in medicine and Biology in general. You canโt escape it๐๐๐คฃ๐.Embo soma hapo uone Yusuf Cengel alivyoandika na huyo ni daktari bingwa wa watoto.
Kitabu kinaitwa "You and your health".
Halafu ujione unaleta sababu zisizo na maana ama mashiko.
Nimepiga picha mwenyewe sasahivi.
Aya mkosowe na Mmarekani.View attachment 3089389View attachment 3089390
Huyo jamaa reasoning yake ni ya kipumbavu sana.So you want to tell us there are no tissue papers in Tanzania?