Mmekuja late to the party, Kenyan songs were played hadi tukazoea.Nyimbo hadi bar za France Paris inapigwa komasava wewe unasema haijahit!??
Forest man mambo vipi? Hali ya msituni iko vipi? Bosco na Tusker wanawasumbua ama?Huu ujumbe uwafikie Hawa wapumbavu nairobae na huyu NairobiWalker 😂😂😂 vijamaa vilikaza fuvu leo mapema.. kumbe Bongo Ndio mshirika mkubwa wa China kwa nchi za Africa.
Ruto hata akinyimwa loan sisi hatujali. 🤣 🤣 🤣Mmerudi mikono mitupu!
Kelele za chura, mulienda kuitisha msaada wa kurefurbish reli. Nchi mbili maskini na zote zinakosa engineers wakurekebisha reli baada ya kusamehewa deni. 🤣🤣🤣 Aibu.Mbona ya TRC kutoka jointed kwenda continuous welded tunafanya kazi wenyewe?
Wakandarasi waliokuwepo ni wenye mashine tu wanasimamia mashine zao.
Hiyo TAZARA inafanyiwa ukarabati mkubwa kila idara kijana.
Naona umeanza kudata.Kelele za chura, mulienda kuitisha msaada wa kurefurbish reli. Nchi mbili maskini na zote zinakosa engineers wakurekebisha reli baada ya kusamehewa deni. 🤣🤣🤣 Aibu.
Aaah wee shika adabu yako.Akothee eras performed in bigger shows than huyo big lips.
Diamond can’t even get to the level of Sauti Sol and Khaligraph Jones.Aaah wee shika adabu yako.
Kenya hakuwahi kutokea msanii mkubwa kama Diamond platnumz
Hakuna msanii Kenya amewahi kuhit kushinda msanii wowote wa TZ.Mmekuja late to the party, Kenyan songs were played hadi tukazoea.
View: https://x.com/PulseLiveKenya/status/1070659118480941056
View: https://x.com/jaza_stadi/status/1070650845023346689
According to you?Hakuna msanii Kenya amewahi kuhit kushinda msanii wowote wa TZ.
True, JW Marriot is only found in Kenya, Egypt and Mauritius, na Kenya pekee ndio ikona mbili.A glimpse of JW Marriot Hotel. One of the only two in East and Central Africa which are both in Kenya.
View attachment 3087288
View attachment 3087289
Acha kelele lete takwimu hapa.According to you?
Refurbishment imebadilisha meaning kwani? 🤣 🤣 🤣 Meter Gauge yetu tulijfanyia refurbishment na inafanya kazi vizuri sana. Nyinyi lazima musaidiwe na China baada kusamehewa deni. 🤣🤣Naona umeanza kudata.
Hiyo reli inaenda kubadilishwa kuwa ya kisasa sio kufanyiwa refurbishment kama unayodhani wewe.
Mpaka sasa Kenya hamuna reli wenye ubora kama wa Tanzania.
Kama mna uwezo na ninyi si mngeboresha metre gauge yenu?
Mbona bado ipo jointed rail!??
Makalio wewe
Khaligraph aliwahi kushinda tuzo ya BET awards!??
😂😂😂😂😂😂😂Refurbishment ipi mmefanya kwa metre gauge yenu!??Refurbishment imebadilisha meaning kwani? 🤣 🤣 🤣 Meter Gauge yetu tulijfanyia refurbishment na inafanya kazi vizuri sana. Nyinyi lazima musaidiwe na China baada kusamehewa deni. 🤣🤣
Kwa hivyo reli ispokua continuous welded haiwezi fanya kazi? 🤣 🤣😂😂😂😂😂😂😂Refurbishment ipi mmefanya kwa metre gauge yenu!??
Mbona bado ipo mfumo wa zamani wa jointed rail!??
Wenzenu wote wanahamia continous welded.
Nioneshe reli ambayo ni continuos welded hapo Kenya nihame JF sasa hivi.