Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Majambazi ya CCM yanateka watu kila kukicha Mzee usiombe wakushike ๐๐๐
View: https://x.com/C_NyaKundiH/status/1830698208617443782mara ya mwisho nasikia mabasi kutekwa bongo ni miaka ya 2005 tena njia ya nyakanazi. jeshi bora afrika miaka hii bado utekaji unaendelea
(SOME CARGO BERTHS ) elewa maana ya hilo neno. ADAN hajapewa bandari nzima kama nyinyi mlivyompa uwanja woteCollabo ya Adani ๐ค DP world ndani ya dar slum. Alafu wako freshi tu bila kelele. Watanzakundu bana, ๐๐๐View attachment 3085832
Bandari nzima ya kazi gani wakati hizo gati wamepewa zimeshika 90% ya biashara yote. Jiulize kwanini TPA imefilisika ๐๐(SOME CARGO BERTHS ) elewa maana ya hilo neno. ADAN hajapewa bandari nzima kama nyinyi mlivyompa uwanja wote
Umekataa kabisa kunipatia picha ili nione huko nyuma. Unaogopa?Bandari nzima ya kazi gani wakati hizo gati wamepewa zimeshika 90% ya biashara yote. Jiulize kwanini TPA imefilisika ๐๐
Hiyo render itajengwa, just like the ones before them which you also shouted 'render' 'render'. Ama nikukumbushe Yale ulisema render mwishowe yakajengwa?Wacha hasira mzee, kama hujaona render labda nikuoneshe tena plz ๐ ๐ ๐ ๐
Huu Ndo uwezo wao msiwashangae na kilee kizungu mingiโฆ๐ ๐ ๐ ๐ aisee hii nchi inatisha
View: https://x.com/MoraraKebasoSnr/status/1830670749545484571?t=EAhkSrCSdE2F6S-XQv51Gw&s=19
Mlijenga mchina alipomaliza expressway baada ya wiki ika-flood ikadidimia na kubanduka! Nothing new!Msiwaambie kinacho endelea chini ya expressway
View: https://x.com/KeNHAKenya/status/1829071616510222419?t=qCh0LQ66e--Y5h4zN_gdYQ&s=19
Umenoa โMlijenga mchina alipomaliza expressway baada ya wiki ika-flood ikadidimia na kubanduka! Nothing new!
Ndio maana nimesema mkuu,lile daraja sio tu hatari kwa kukosa vizuizi.kama majengo yanaanguka na madaraja yanaanguka kila siku, unategemea nn?
Ushaambiwa "to run some cargo berths".Collabo ya Adani ๐ค DP world ndani ya dar slum. Alafu wako freshi tu bila kelele. Watanzakundu bana, ๐๐๐View attachment 3085832
Mbongo hawezi fanya hivi.Ingekua vice versa wangekimbia mbio kusema wakenya wanatuibia kipchoge wetu makatuni tu hawa wabongo.
View: https://x.com/isaac_1708/status/1182945139653857280?t=ffwRlHQoISfu2dewAzWJWQ&s=19