President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,683
- 94,332
Unaweza kutuambia ni brand gani mnatengeneza? ๐ ๐ ๐Si eti tunasema. It's a fact bongolala and you cannot take that fact away. Mtaumia sana ila ukweli itabakia palepale
Hii haiwezi kutokea huko kwa manyang'au๐๐Nyama Arusha. Wafanyabiashara na wakuu wa mwashirika ya umma
View: https://youtu.be/WhJEMcLIjq4?si=kygjf35i5vJ46NS4
Kwamba hujui yalianza lini? ๐๐๐๐Haya mambo kwann hayana tiba na yameanza lini?? Kuna shida gani nyuma ya pazia
Si ndo maana ujenzi wa viwanja vya Dodoma na Arusha vinasuasua! Mama kasha-divert funds Magufuli style kule Chato airport!
Mama anatumia uzoefu alioupata awamu ya 5 kule Chato ๐๐๐Badala kujenga sehemu potential tunapeleka miradi sehemu ambako hakuna wanamichezo WA mpira ๐๐๐๐๐
Yani naona aibu Sana kwakweli
Acha uchokozi wewe ๐คฃ๐คฃ๐คฃMama anatumia uzoefu alioupata awamu ya 5 kule Chato ๐๐๐
Si walikuwa wakitaka picha za ujenzi uwanja wa Arusha mbona sasa hawa comment wako kimya?
Hivi viwanja viko kwenye budget ya mwaka huu ambayo imeanza utekelezaji mwezi wa 7 hivyo hela ilikuwa inasubiriwa toka serikalini ila viwanja vya kizimkazi ni wafadhili wa ndani crdb akiwa mmoja wao.Si ndo maana ujenzi wa viwanja vya Dodoma na Arusha vinasuasua! Mama kasha-divert funds Magufuli style kule Chato airport!
Ugali tuu shida ndio itakuwa nyama!!!!Hii haiwezi kutokea huko kwa manyang'au๐๐
Maweeeee Kenyan bus companies kwishnei kwenye hizo route.
Hiyo projected timeline aliweka nani mkunya?Wakundustan hawaamini sasa hivi Wabongo wanawapa ajira wapeleke remittance kwao๐ kuwekeza mzigo mzito (Refer Taifa gas) na Kununua kampuni zao( Bamburi) eti hawaamini macho yao walidhani labda 2040 huko๐
Wakundustan kuanzia juu hadi Chini wote akili moja. Imagine mkundustan yupo mtandaoni kwa ajili ya Exchange rate anataka aje Bongo na buku lake anunue hadi majengo na Magari yote ya Diamond ๐๐๐๐.
View attachment 3082510View attachment 3082510