Globe trotter iko kazini ๐
Na ukitaka kujua nyang'au bado washamba angalia jinsi wanavyojiona wazungu๐
And that's a flex? Tanzania kifikra mko nyuma miaka hamsini.Hujaona Waziri anatumia ndege bora kuliko ya Ruto!
๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ UmelowaAnd that's a flex? Tanzania kifikra mko nyuma miaka hamsini.
Hii inakaa sawa Katibu mwenezi kueleza lini mradi unaanza au ndo tuite kimbelembele kwenye yasiyomhusu?
Moja ya vitu bora kabisa katika historia ya nchi hii. Kama hujawahi kuipanda nakushauri tenga weekend moja upande.
Si eti tunasema. It's a fact bongolala and you cannot take that fact away. Mtaumia sana ila ukweli itabakia palepaleWatuambie hizi zimetoka wapi? Kundudwellers. Buses hawana halafu wanadai kuwa wao ndio wanaunda mabasi. ๐ ๐ ๐
View attachment 3081823