Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi tunaenda Saudi Arabia kusoma wao wanaenda kufanya kazi za ndani. Tofauti ni kubwa sana

1724842006493.png

1724842070165.png
 
Was he not elected by other countries? Punguza feelings we mzee.
International Affairs zinapiga chenga sana wakenya. Someni International Relations mjifunze Diplomacy

Chair of WHO in the region is the rotation issue. Kama alivyo mwenyekiti wa EAC nchi zinabadilishana kijana. Hata mwenyekiti wa UN ni mabadilishano.

Kazi ya Mwenyekiti ni kukaa kwenye kiti cha mbele kwenye vikao vinavyofanyika vya mawaziri.

Director yeye lazima awe mtaalam anashughulika na Daily activities za WHO na anamsaidia Director mkuu wa WHO dunian Dr. Tedros Adhanom kwa masuala yote yanayohusu afya Afya.

Yeye ndiye anayeunda Policies za Afya Africa. Mawaziri wanakuja kusomewa na Kupitisha tu

Tunaposema Education yenu ni mbovu proofs ndio hizi mnavyo jiaibisha kwenye social media.
 
Simple English inawashinda. 🤣 🤣 🤣

ScreenShot Tool -20240828114124 (1).png
 
Simple English inawashinda. 🤣 🤣 🤣

View attachment 3081367
Angalia orodha ya wenyeviti wa board kuanzia 2017 mpaka leo:-
Dr Hanan Mohamed Al Kuwari (Qatar), Chair 2023
Dr Kerstin Vesna Petrič (Slovenia) Chair 2022
Dr Patrick Amoth (Kenya), Chair 2021
Dr Harsh Vardhan (India) Chair 2020
Dr Hiroki Nakatani (Japan) Chairman 2019
Mrs Maria Nazareth Farani Azevêdo (Brazil) Chairperson 2018
Dr Assad Hafeez (Pakistan) Chair 2017

Jifunze uweze kuelewa dunia ipoje
 
Every region inafanya election/nominations zake. Nini ngumu kuelewa hapo.
 
Mzee hayo ni mambo ya kawaida hakuna election hapo. Zamu ikiwafikiwa mnatoa Chairperson for one year.

Education System of Kenya imewafanya muwe stupid.
Eti "Education System of Kenya". Tumia tu Kiswahili we pimbi. 🤣 🤣 🤣
 
Tayari umeshalowa 🤣🤣🤣🤣🤣
Come to Tanzania to the diplomacy college and learn International Politics.
1724848114046.png

Back
Top Bottom