Wasomi sio wavivu, nimekuambia data iko available online, ukikosa sema usaidiwe.Sasa nimekuuliza uniletee Statistical Data unaanza kunitukana. Vipi tena kijana. Hapa hatuandiki kwa hisia tunaandika facts.
Leta facts hapa. Hapa unajadiliana na wasomi siyo wakazi wa Kibera.