Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aliyetolewa ni Azam na coastal union.
Yanga na Simba bado wapo.
Au umesahau kuwa tumepeleka timu nne CAF??
And only 2 are remaining in CAF just like Kenya😂😂🤣😂.

Simba wanacheza Confederation Cup watatolewa on the next preliminary stage na Al Hilal😂😂🤣😂
 
Wacha habari za historia.
Hizi zimepitwa na wakati.
Yanga unayozungumzia sasa ni timu ilomfunga CR BELOUZDAD bingwa wa Algeria goli 4-0.
Ni timu ya 13 kwa ubora Afrika.
Hata ebu tuonyeshe where Yanga ilifunga Gor Mahia na haijapitwa na wakati😂😂🤣😂
 
Mimi naweza kuweka picha zangu humu na hakuna mkenya yeyote wa ku level na mm na ndiyo maana picha yangu mnayo na hamuiweki humu mana ni nzuri na inayovutia dada zenu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Picha unaogopa kuweka and that’s why keep on posting palms and shingo. Kwani are you also ashamed of yourself like Venus Star ?😂🤣🤣😂
 
APR ni timu bora kwasasa kuliko Gormahia.
APR sio sawa na hiyo Merreikh.
Hiyo APR si iligongwa na Gor? Just like I told you yesterday, there is no team in East Africa that can defeat Gor Mahia😂😂🤣😂
 
And only 2 are remaining in CAF just like Kenya😂😂🤣😂.

Simba wanacheza Confederation Cup watatolewa on the next preliminary stage na Al Hilal😂😂🤣😂
Simba ni kubwa kuliko Al hilal.
Tambua Simba ni timu ya 7 kwa ukubwa AFRIKA.
Jitekenye na ucheke mwenyewe.
 
Timu zao mbili are already out. Yanga and Simba pia itatolewa in the second Preliminary stage😂🤣😂
Unaizungumzia Yanga ambayo msimu uliopita imetokewa quarter finals kwa penalty shootouts na Mamelody.
Unazungumzia simba ambayo msimu ulioisha ilitolewa quarter finals na bingwa wa Afrika Al ahly Misri.
Kwa sasa Tanzania timu zake ni za kushindana na timu kubwa sio za Afrika mashariki.
 
Jitu linapenda ushoga lkn lichafu, angalia shati gn hili shoga anavaa.
Screenshot_20240815-124316~2.png
 
Hakuna ulinganisho kati ya Tanzania na Kenya linapokuja suala la club level and that's why tunaingiza timu nne CAF tournaments nyinyi mnaingiza moja, tupo mbali na sitaki hii battle ya kipumbavu.
Kenya

Gor Mahia
Kenya Police

Tanzania
Yanga
Simba

So timu gani nne za Tanzania zimebaki kwa CAF tournament?😂😂🤣😂
 
Simba ni kubwa kuliko Al hilal.
Tambua Simba ni timu ya 7 kwa ukubwa AFRIKA.
Jitekenye na ucheke mwenyewe.
Ukubwa in what terms?😂😂🤣😂.

Simba haijaifunga Gor Mahia Tangu dunia iumbwe😂😂🤣😂
 
Back
Top Bottom