Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,178
- 107,756
Wacha kukurupuka charging points za Tuktuk!Ile BRT ya Kundustan imeishia wapi? πππ
Electrifying Dar BRT πΉπΏπΉπΏ π₯π₯ππ
View: https://youtu.be/r7pSjWcpFA4?si=22aNryORvRzYnS0g
Uzuri umeacha ku-claim mabasi ya Tanzania yanatoka Ukunyani! Umefyata!Sifa gani? Mimi sina mikono ngumu za mateso kama huyo watchmanπππ€£π
Bila shaka, hata mapozi yake.Huyo jamaa kuna comment zingine huwa nacheka sn, yani ana maneno ya kifukara mnooo, kuna muda mpaka nacheka, inawezekanaje mtu akafikiria kitu kama hiki, hayo maneno huwa nawasikia walalahoi (wanajiitaga hivyo) nahisi jamaa ametoka familia ya kimaskini sn na ndiyo maana mpaka leo hajui kuvaa licha ya kusema kapata kazi lkn angalia nguo anazovaa π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Bus Production serious hiyo lugha yenu nayo ni chenga au?Nyinyi ndio mnapigania mambo ya bus companies. Sisi tunaongelea bus production which is not happening in Tanzaniaπππ€£. Kama kuna any bus production going on in Tz Ebu tuonyeshe the latest imetolewa lini.
Ya Kenya ndio hii hapa released yesterday.
View: https://x.com/ScaniaEA/status/1827040658743341539
Maendeleo yapi mzee?Mombasa
Nakuru
Kisumu
Eldoret
Zote zimeshinda Mwanza kwa maendeleo na mipangilio.
Oga toa ushahidi hapo ni IringaπChuma hicho kinatoka kiwandani Iringa π€View attachment 3078255
Kwa hivo akipost basi la Kenya ni umaskini, nyinyi mkipost basi la Tanzania ni utajiri? Unafiki.Una umasikini si wa dunia hii, bila shaka ulipokua mtoto mkikaanga chapati unazunguka nayo mtaa mzima unakula ππππ
Usipoteze hii picha. Sasa wakitoa ile ya BJ50 tunajibu na hii.π€£ π€£ π€£Chuma hicho kinatoka kiwandani Iringa π€View attachment 3078255
Mkapa tayari ni viraka. Labda kama hutaki kuona ukweli.Kweli Africa ni Africa tu, Naona hapa Azam na APR uwanja wa Amahoro wa juzi pitch ishageuka viraka not smooth, Maintenance ni janga Africa.
Sipati picha Simba na Yanga wakiwa na viwanja vyao kwa Mkapa patakuwaje, Maana hizo clubs mbili zinafanya Serikali ilazimike kufanyia matengenezo kila mwaka kukidhi CAF standards
Kundudwellers ni shida. Njaa ni mbaya sana.Mkapa tayari ni viraka. Labda kama hutaki kuona ukweli.
Unataka yapi?Maendeleo yapi mzee?
Nina folder nzima kwa gallery inaitwa tanzakundu πUsipoteze hii picha. Sasa wakitoa ile ya BJ50 tunajibu na hii.π€£ π€£ π€£
Kundudwellers mnachekesha sana. Dunia yote inajua all Kundudwellers are hungryNina folder nzima kwa gallery inaitwa tanzakundu π
Hata picha za Nigeria wewe unakusanya tuππNina folder nzima kwa gallery inaitwa tanzakundu π