President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,647
- 94,285
Kenya is moving BackwardsFika mahali Kenya iko kwa sasa ndio uje.., tumewangoja sana.., SGR ya umeme working 200km stretch ya abiria na ka BRT tu sio kitu.., hamna lolote kwa Kenya bado.., jitahidi, hekaya za abunuasi nenda ukahadithie washamba wa kwenu
Miradi mingi ya Tanzania haijengwi kwa asilimia mia moja kwa mkopo.Nyambaff!.., hehehe., kwa pesa za ndani, manina zako!hehehehe.., fikra za vijiweni hizi
We kunguni.Fika mahali Kenya iko kwa sasa ndio uje.., tumewangoja sana.., SGR ya umeme working 200km stretch ya abiria na ka BRT tu sio kitu.., hamna lolote kwa Kenya bado.., jitahidi, hekaya za abunuasi nenda ukahadithie washamba wa kwenu
Hicho kijama ni fahari yake kuongea uongo 😂😂😂😂We kunguni.
Sgr Dar-Moro ni 320+kms.
Dar to Makutupora ni 480+kms.
Hizo 200km za nyokwe!??
Dar- Moro 300km pekee.., passenger train, where is value for money?..., mnauwa mabasi eti uchumi hehehe.., no economic viability whatsoever, CCM PR gimick at the expense of tax payers money na mikopo kwa wingi, mifukara wa akili na mali heheheWe kunguni.
Sgr Dar-Moro ni 320+kms.
Dar to Makutupora ni 480+kms.
Hizo 200km za nyokwe!??
Tanzania is not small as Kenya. We care more about Citizens than Individuals.Dar- Moro 300km pekee.., passenger train, where is value for money?..., mnauwa mabasi eti uchumi hehehe.., no economic viability whatsoever, CCM PR gimick at the expense of tax payers money na mikopo kwa wingi, mifukara wa akili na mali hehehe
Huu ni waraka wa wakorintho 😂😂😂 mbona utusomee watanzania.? 😂😂😂.Akili za kitanzania zimedua kweli.., tatizo sio kukopa but wanaangalia viability, what will be return on investment? makes sense when Uganda and Rwanda are roped in.., yaani akili mtu wangu sio kukurupuka kiholela., yenu imebeba mizigo tani ngapi?.., a white elephant project kwa vile mizigo zaidi ya 70% ya port ya Dar inabakia Dar.., kwingine ni vijiji tupu, train ya abiria haijawai kukuwa na faida duniani, business is in freight kilaza, nyie mko na mali kidogo sana ya kupeleka vijijini, SGR yenu haiwezi tengeneza faida kirahisi! Serikali ya washamba wanajenga ilimradi tu hawaelewi ni kwa nini, hawana lengo mwafaka haswa, wanajaribu kushindana na jirani hiyo ndio lengo.., masomo duni ni balaa kwa taifa na kuongozwa na mibongolala ni laana kuu!!
Check watu wananunua new buses. Halafu wewe kutoka Kundustan unalalamikaDar- Moro 300km pekee.., passenger train, where is value for money?..., mnauwa mabasi eti uchumi hehehe.., no economic viability whatsoever, CCM PR gimick at the expense of tax payers money na mikopo kwa wingi, mifukara wa akili na mali hehehe
Kwaiyo kama ya Kenya haitengenezi faida na tz haitatengeneza faida?Akili za kitanzania zimedua kweli.., tatizo sio kukopa but wanaangalia viability, what will be return on investment? makes sense when Uganda and Rwanda are roped in.., yaani akili mtu wangu sio kukurupuka kiholela., yenu imebeba mizigo tani ngapi?.., a white elephant project kwa vile mizigo zaidi ya 70% ya port ya Dar inabakia Dar.., kwingine ni vijiji tupu, train ya abiria haijawai kukuwa na faida duniani, business is in freight kilaza, nyie mko na mali kidogo sana ya kupeleka vijijini, SGR yenu haiwezi tengeneza faida kirahisi! Serikali ya washamba wanajenga ilimradi tu hawaelewi ni kwa nini, hawana lengo mwafaka haswa, wanajaribu kushindana na jirani hiyo ndio lengo.., masomo duni ni balaa kwa taifa na kuongozwa na mibongolala ni laana kuu!!
Uchawistan from Kundustan!
Watu wananunua buses kila siku kama nyanya .. halafu yeye analalamika. 😂😂😂 alidhani sisi ni wao.
Ya Kenya inatengeneza faida kwa sasa! Freight na uongeze passenger! Nyie freight mtatoa wapi na ndio iko na percentage kubwa ya revenue? haujui uchumi wenu hafifu unaoishia Dar kwa percentage kubwa? heheheheKwaiyo kama ya Kenya haitengenezi faida na tz haitatengeneza faida?
Kuandika Bango kwa kichina sio shida. Huwa mmekazana hiyo Stadium ni ya Mchina and yet nikileta proof ati ni ya GOK unakuja na mambo ya language used to write on the board😂😂🤣.Ila wachina wanadharau hadi bango la mradi limeandikwa kwa kichina kwanini huu uhanithi hawafanyi Tz?
Kwahiyo unakubali GTC owned by Chinese?Kuandika Bango kwa kichina sio shida. Huwa mmekazana hiyo Stadium ni ya Mchina and yet nikileta proof ati ni ya GOK unakuja na mambo ya language used to write on the board😂😂🤣.
Ama vile Mchina aliwazawadi Makwapa Stadium sasa mnalazimisha Talanta pia iwe Ivo?😂
Kwani Dar barabara salted ni za vumbi?😂😂🤣
Unajua maana ya kubebwa ufala kweli? ni ile mnakubali maneno ya mtu na hamuna uwezo wa kutofautisha propaganda na ukweli, in this by the fact it is being referred to as "story za jaba" (ama 'hadithi za vijiweni' kwa lugha yenu) tushamuumbua so hatubebwi ufala kama mnavyo bebwa na CCM, infact ni sisi huwa tunajaribu kuwachanua muone mnavyo bebwa ufala siku zote, ila mnajitoa ufahamu humu, ukweli hampendi.
Kingereza ndio hujui? Leta evidence hiyo stadium inamilikiwa na mchina 😂😂🤣Ni kwasababu itakua owned by Chinese 🤣🤣
Maneno ya Mkosaji 🤣 🤣 🤣 🤣Kwani Dar barabara salted ni za vumbi?😂😂🤣